Msaga Sumu: Mwanaume mashine imeniletea mgogoro mkubwa kwenye ndoa yangu

Msaga Sumu: Mwanaume mashine imeniletea mgogoro mkubwa kwenye ndoa yangu

Mh! Labda watakwambia msambwanda.
 
Hata kibamia ni mashine eti,

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Amigo, naona umewahi siti ya mbele kabisa huku ukiweka pozi kwa tabasamu lako murua..

Maneno ya wahenga nayo yaheshimiwe. Mfuata nyuma basi hujazwa nundu
Toba.....[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Comrade.......
Wakilazimisha mishuzi, ndowana jinyeaga hadharani....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mwanamke mashine buana...ila kama wanaume wanang'ang'ania kuwa mashine,well and good.
Nawaanze kuosha vyombo na kupiga deki,wafue na kunyonyesha,aandae na kuogesha watoto,Apike chakula,Hadi lile pilau la jumapili,tena abebe mtoto mgong'oni ampeleke hospital wakae karibu siku nzima kusubiri matibabu,ahakikishe kila kitu kiko sawa kabla hajalala,halafu agegedwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume mashine babu upo? km una kibamia chefuuuuu

Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app

Mashine IPO,,,yaani ninayo mashine,,,Mimi mwanaume mashine,,,nitakupa mashine,,,
 
Back
Top Bottom