Msaidieni kaka yangu ndoa inavunjika, hawezi kwenda round zaidi ya moja

mpaka hapo huyo nwanamke ameshaharibu sex kwa mwanaume ni more psychological than physicality ...wanaume tunajua unaweza kuwa na mwanamke ukiwaza tu kuwa kuna mtu alimla hamu yote inaisha...sasa yeye tayari keshamsema kwa watu na pengine kabla ya hapo kuna vijikashfa alimtupia binafsi it will take ages kumrudisha na pengine huyo kaka akichepuka anapigaga bao kumi
 
Ukute tatizo ni mwanamke unakuta papuchi haina tofauti na tikiti maji kitu kimelegea km gari imekatika center bolt au shokapu mashavu ya papuchi yamelefuka km ya sungura au pimbi. Sasa kwa hali hyo mashine lazima ifleti asee
Pia mwambie jamaa apunguze mawazo anywe maji km ray na afanye tizi sana. Mwisho aonje papuchi zingine zilizotembea kilomita chache
 
kupiga kimoja sio tatizo...hoja ni kipo katika mazingira ganj? kinachukua muda gani...Mimi mke wangu hicho kimoja tu huwa kinamtosha na haamki mpaka nimwamshe asubuhi...the matter of how many climax sio hoja...inawezekana kaka ako anapiga shoo sana bt limwanamke linamapepo ya ngono
 
Nilikuwa kanisani siku moja kwenye mkutano wa wanawake. Msemaji mmoja akuekezea umuhimu wa wanawake kujitunza.

Alisema ukizoea ya Ali na ya Joseph, ukija kuolewa na Eric utaona hajui mapigo. Lakini kama mwanaume unaemjua ni Eric tu utaridhika na hali yake.

Hii ni kweli kabisa na kinyume chake pia ni sawa,
 
Du shemeji yenu ni mcharuko, mambo kama hayo hayasemwi nje ukizidiwa unajikojolesha mwenyewe mradi mume wa kukupa watoto unae ndani. Alifundwa wapi huyo mke?
Hana adabu kwanza
Isije kuwa yeye ndio tatizo
Alizoea vya Ali na Joseph sasa anamfananisha mumewe na hao
Ndoa bado changa ameanza kuleta shida
Kwani aliambiwa ndoa/zoezi lenyewe ni mashindano ya marathon
Hataki ndoa huyo ni visingizio mbuzii!
 
Du shemeji yenu ni mcharuko, mambo kama hayo hayasemwi nje ukizidiwa unajikojolesha mwenyewe mradi mume wa kukupa watoto unae ndani. Alifundwa wapi huyo mke?
Inaonesha siku jamaa akipata mfumbuzi na kumtosheleza atakuja kuwapa feedback kwamba jamaa sasa hivi ananitosheleza...
 
Loss of libido.Hii inatokana na matumizi ya dawa pressure je bro ana ttzo hilo?
 
Du shemeji yenu ni mcharuko, mambo kama hayo hayasemwi nje ukizidiwa unajikojolesha mwenyewe mradi mume wa kukupa watoto unae ndani. Alifundwa wapi huyo mke?

Mdogo mtu badala ya kumtuliza shemeji yeye kayaleta huku tena!
Anyway! Ale virutubisho vya kuongeza ngeye!

Libido-Boosting Foods - Best Foods for Sex | Fitness Magazine
UrlAdvisorGoodImage.png

10 Foods That Boost Your Libido (and 3 That Kill It)

7 Foods for Better Sex - Health Magazine
UrlAdvisorGoodImage.png

www.health.com › Sex
 
Habari iwe nanyi wapendwa!
Bila kupoteza muda napenda kujikita kwenye mada, kaka yangu ameo mwaka moja sasa. Huyu mwanamke walikuwa hawajajuana kindoa mpaka walipooana, sasa mwanamke analalama kwamba ndg yangu hampatii hitaji lake la ndoa kama inavyopaswa. Anasema kashaongea naye lakini jamaa anashindwa kufikia level zake, wameyaongea ndani wameshindwana sasa kayalete kwetu mashemeji zake.

MADAI YA SHEMEJI
Shemeji anadai kwamba kaka yangu hawezi kwenda round zaidi ya moja, yaani akipiga kamoja jamaa hawezi tena kusimamisha labda yapite masaa mengi sana. Kwa kitendo hicho mwanamke anaachwa na mshawasha kiasi anachodai kinampa msongo wa mawazo.

MADAI YA KAKA
Kaka yeye anasema amekuwa na hisia ndogo sana juu ya wanawake na kwamba hata mke wake wanaweza kulala naye wiki mbili bila kufanya mapenzi. Anaendelea kusema amekuwa akichoka sana baada ya tendo la ndoa. Anasema akifanya na mkewe kesho yake anakuwa kama mtu aliyelimishwa ekari tano.

MATUMIZI YA POMBE, SIGARA AU KUPIGA PUNYETO
Kaka yetu anasema (kwa sigara na pombe hata mimi nina uhakika) hajawahi kunywa pombe wala kuvuta wala kupiga punyeto. Anaapa kwamba hivo vitu hajawahi kuvifanya hata siku moja isipokuwa wakati akisoma walikuwa wanalishwa ugali maharage wenye mafuta taa kama ilivyo desturi za shule za boarding za serikali.

Ili kunusuru hali inayoendelea kufukuta na kuepusha jamaa kuchapiwa ushauri ni muhimu sana kwa yeyote yule. Msaidieni afanye nini kukabiliana na changamoto hiyo, najua kejeli haitakuwepo kwasababu hazitasaidia kutatua tatizo hili.

NB. Kumekuwepo na tabia za kusingizia wanaume wa DSM kwa mambo kama haya, ila huyu kaka yangu amezaliwa mtwara, kakulia mtwara na shule ndiyo iliyomtoa huko kuja dsm na kwasasa kazi anafanyia huko wala si mpenzi wa chipsi na kuku wa kisasa.
Alikuw mpiga punyeto mahiri hiyo aina ya wanaume kupiga kimoja tena cha fasta km chafya inaniboa kuliko maelezo mwambie Shemeji yako avumilie japo inataka roho ngumu sio rahisi kuvumilia ila mwambie kutimiza wajibu tu
 
Habari iwe nanyi wapendwa!
Bila kupoteza muda napenda kujikita kwenye mada, kaka yangu ameo mwaka moja sasa. Huyu mwanamke walikuwa hawajajuana kindoa mpaka walipooana, sasa mwanamke analalama kwamba ndg yangu hampatii hitaji lake la ndoa kama inavyopaswa. Anasema kashaongea naye lakini jamaa anashindwa kufikia level zake, wameyaongea ndani wameshindwana sasa kayalete kwetu mashemeji zake.

MADAI YA SHEMEJI
Shemeji anadai kwamba kaka yangu hawezi kwenda round zaidi ya moja, yaani akipiga kamoja jamaa hawezi tena kusimamisha labda yapite masaa mengi sana. Kwa kitendo hicho mwanamke anaachwa na mshawasha kiasi anachodai kinampa msongo wa mawazo.

MADAI YA KAKA
Kaka yeye anasema amekuwa na hisia ndogo sana juu ya wanawake na kwamba hata mke wake wanaweza kulala naye wiki mbili bila kufanya mapenzi. Anaendelea kusema amekuwa akichoka sana baada ya tendo la ndoa. Anasema akifanya na mkewe kesho yake anakuwa kama mtu aliyelimishwa ekari tano.

MATUMIZI YA POMBE, SIGARA AU KUPIGA PUNYETO
Kaka yetu anasema (kwa sigara na pombe hata mimi nina uhakika) hajawahi kunywa pombe wala kuvuta wala kupiga punyeto. Anaapa kwamba hivo vitu hajawahi kuvifanya hata siku moja isipokuwa wakati akisoma walikuwa wanalishwa ugali maharage wenye mafuta taa kama ilivyo desturi za shule za boarding za serikali.

Ili kunusuru hali inayoendelea kufukuta na kuepusha jamaa kuchapiwa ushauri ni muhimu sana kwa yeyote yule. Msaidieni afanye nini kukabiliana na changamoto hiyo, najua kejeli haitakuwepo kwasababu hazitasaidia kutatua tatizo hili.

NB. Kumekuwepo na tabia za kusingizia wanaume wa DSM kwa mambo kama haya, ila huyu kaka yangu amezaliwa mtwara, kakulia mtwara na shule ndiyo iliyomtoa huko kuja dsm na kwasasa kazi anafanyia huko wala si mpenzi wa chipsi na kuku wa kisasa.

Shemeji yako anatafuta namna tu ya kuhalalisha ufuska wake, anapaswa amvumilie
 
Back
Top Bottom