Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaa. Sitaki mieeee.Wakiambiwa wawape waume zao vyakula na matunda yakuongeza mshawasha wanaona kama wanachezewa muvi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa. Sitaki mieeee.Wakiambiwa wawape waume zao vyakula na matunda yakuongeza mshawasha wanaona kama wanachezewa muvi
Unaogop atakwambia ipua sufulia twende chumbnHahahaa. Sitaki mieeee.
Hahahaaa. Uko vizuri shoga. Ongezea ongezea. [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ampe miogo mibichi sana na nazi
InatoshHahahaaa. Uko vizuri shoga. Ongezea ongezea. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaaa. Kabisaaaaa.Unaogop atakwambia ipua sufulia twende chumbn
Na kweli mwaya.Inatosh
Mpe mautundu hayo Kwa faida yake na wengineDu shemeji yenu ni mcharuko, mambo kama hayo hayasemwi nje ukizidiwa unajikojolesha mwenyewe mradi mume wa kukupa watoto unae ndani. Alifundwa wapi huyo mke?
Nilikuwa kanisani siku moja kwenye mkutano wa wanawake. Msemaji mmoja akuekezea umuhimu wa wanawake kujitunza.
Alisema ukizoea ya Ali na ya Joseph, ukija kuolewa na Eric utaona hajui mapigo. Lakini kama mwanaume unaemjua ni Eric tu utaridhika na hali yake.
Hana adabu kwanzaDu shemeji yenu ni mcharuko, mambo kama hayo hayasemwi nje ukizidiwa unajikojolesha mwenyewe mradi mume wa kukupa watoto unae ndani. Alifundwa wapi huyo mke?
Inaonesha siku jamaa akipata mfumbuzi na kumtosheleza atakuja kuwapa feedback kwamba jamaa sasa hivi ananitosheleza...Du shemeji yenu ni mcharuko, mambo kama hayo hayasemwi nje ukizidiwa unajikojolesha mwenyewe mradi mume wa kukupa watoto unae ndani. Alifundwa wapi huyo mke?
Du shemeji yenu ni mcharuko, mambo kama hayo hayasemwi nje ukizidiwa unajikojolesha mwenyewe mradi mume wa kukupa watoto unae ndani. Alifundwa wapi huyo mke?
Alikuw mpiga punyeto mahiri hiyo aina ya wanaume kupiga kimoja tena cha fasta km chafya inaniboa kuliko maelezo mwambie Shemeji yako avumilie japo inataka roho ngumu sio rahisi kuvumilia ila mwambie kutimiza wajibu tuHabari iwe nanyi wapendwa!
Bila kupoteza muda napenda kujikita kwenye mada, kaka yangu ameo mwaka moja sasa. Huyu mwanamke walikuwa hawajajuana kindoa mpaka walipooana, sasa mwanamke analalama kwamba ndg yangu hampatii hitaji lake la ndoa kama inavyopaswa. Anasema kashaongea naye lakini jamaa anashindwa kufikia level zake, wameyaongea ndani wameshindwana sasa kayalete kwetu mashemeji zake.
MADAI YA SHEMEJI
Shemeji anadai kwamba kaka yangu hawezi kwenda round zaidi ya moja, yaani akipiga kamoja jamaa hawezi tena kusimamisha labda yapite masaa mengi sana. Kwa kitendo hicho mwanamke anaachwa na mshawasha kiasi anachodai kinampa msongo wa mawazo.
MADAI YA KAKA
Kaka yeye anasema amekuwa na hisia ndogo sana juu ya wanawake na kwamba hata mke wake wanaweza kulala naye wiki mbili bila kufanya mapenzi. Anaendelea kusema amekuwa akichoka sana baada ya tendo la ndoa. Anasema akifanya na mkewe kesho yake anakuwa kama mtu aliyelimishwa ekari tano.
MATUMIZI YA POMBE, SIGARA AU KUPIGA PUNYETO
Kaka yetu anasema (kwa sigara na pombe hata mimi nina uhakika) hajawahi kunywa pombe wala kuvuta wala kupiga punyeto. Anaapa kwamba hivo vitu hajawahi kuvifanya hata siku moja isipokuwa wakati akisoma walikuwa wanalishwa ugali maharage wenye mafuta taa kama ilivyo desturi za shule za boarding za serikali.
Ili kunusuru hali inayoendelea kufukuta na kuepusha jamaa kuchapiwa ushauri ni muhimu sana kwa yeyote yule. Msaidieni afanye nini kukabiliana na changamoto hiyo, najua kejeli haitakuwepo kwasababu hazitasaidia kutatua tatizo hili.
NB. Kumekuwepo na tabia za kusingizia wanaume wa DSM kwa mambo kama haya, ila huyu kaka yangu amezaliwa mtwara, kakulia mtwara na shule ndiyo iliyomtoa huko kuja dsm na kwasasa kazi anafanyia huko wala si mpenzi wa chipsi na kuku wa kisasa.
Habari iwe nanyi wapendwa!