Msaidizi wa Hayati Magufuli: Pata picha saa 8 za usiku mtu anaweka hadi nne akisoma mlichompelekea

Nukuu:-

Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!

Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!

Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, Unaambiwa mwamba alikuwa akipitia nyaraka za mikataba mibovu akiwa ofisini mezani. Akichoka kukaa unaambiwa alikuwa anajilaza kwenye zulia akiwa amepiga nne miguu yake 🤣 huku akiwa amefura haswa! Akiwahurumia anaweza kutoka ofisini saa 9 na akifika ndani unaambiwa haongei na mtu yeye moja kwa moja kitandani na kupiga nne huku akiendelea kupitia nyaraka. Asubuhi yake sasa!!!!

Kuna siku alivurugwa na kutaka atembee kwa miguu hadi bandarini wakamzuilia getini!

Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.

Mfano huu mkataba mnaoupigia kelele, aiseee....!
kwa hiyo ulitaka kutuambia nini, kamfuate kule aliko huyo mshamba wenu. Au mfungue kanisa mkamuabudu km Mungu wenu. Hayo mafile yalikuwa yanahusu ufisadi aliokuwa akifanya na genge lake la kisukuma. Lilikuwa jitu baguzi, uaji, katili, kwa ujumla alikuwa sawa na shetani
 
Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.
Sasa yuko wapi? Siyo kuwa namsema kwa vibaya lakii overworking na huku ukiwa ni mgonjwa ni hatari sana. Ukiongeza na umri (over 50) basi hii combination ni hatari.
Mwili unahitaji mapumziko ya kutosha na hasa kwa kazi kama hizo za uraisi ambazo zinatumia ubongo kwa asilimia kubwa.
 
Nukuu:-

Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!

Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!

Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, Unaambiwa mwamba alikuwa akipitia nyaraka za mikataba mibovu akiwa ofisini mezani. Akichoka kukaa unaambiwa alikuwa anajilaza kwenye zulia akiwa amepiga nne miguu yake 🤣 huku akiwa amefura haswa! Akiwahurumia anaweza kutoka ofisini saa 9 na akifika ndani unaambiwa haongei na mtu yeye moja kwa moja kitandani na kupiga nne huku akiendelea kupitia nyaraka. Asubuhi yake sasa!!!!

Kuna siku alivurugwa na kutaka atembee kwa miguu hadi bandarini wakamzuilia getini!

Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.

Mfano huu mkataba mnaoupigia kelele, aiseee....!
Alikuwa na kifaa cha kuzuia uchovu?
 
Hayo siyo maneno yenye staha kwa mabinti, dada, mama, bibi nk. Wametuzaa na kutulea sisi watu imara. Usirudie kuwatweza wanawake kwa picha hiyo unayoionesha.
Mtu anauza bandari kwa muda usio na kikomo tena bandari zote zilizopo na zitakazokuwepo, haya hebu itetee hiyo jinsia na uwezo wa kuchanganua, kupambanua na kufanya maamuzi sahihi.

Ndio nakubali wanawake wamebarikiwa karama na talanta ya kulea na ndio hasa jukumu lao na eneo lao la umahiri na kamwe sio uongozi. Na hata wao wanalijua hilo ila ndio basi wanapelekwa pelekwa na maharakati ya 50/50
 
Nukuu:-

Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!

Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!

Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, Unaambiwa mwamba alikuwa akipitia nyaraka za mikataba mibovu akiwa ofisini mezani. Akichoka kukaa unaambiwa alikuwa anajilaza kwenye zulia akiwa amepiga nne miguu yake 🤣 huku akiwa amefura haswa! Akiwahurumia anaweza kutoka ofisini saa 9 na akifika ndani unaambiwa haongei na mtu yeye moja kwa moja kitandani na kupiga nne huku akiendelea kupitia nyaraka. Asubuhi yake sasa!!!!

Kuna siku alivurugwa na kutaka atembee kwa miguu hadi bandarini wakamzuilia getini!

Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.

Mfano huu mkataba mnaoupigia kelele, aiseee....!
Mtu makini aliyeishia kuona watu ambao vichwani ni vikapu na paise teams ndiyo waofaa kwenye teuzi zake?
 
Ila malezi ya wagalatia ni ya kikatili sana,
Yaani unafundishwa na kufundisha kabisa ukatili? Unaua binadamu wenzako kisa madaraka na kuwajaza kwenye viroba kweli? Hayo ndio malezi ya wala ngurruwer
Wewe una kitu unakitafuta ututoe nje ya mada.malezi ya wagalatia yanaweza fikia hata punje moja ya ukatili wa wale vijana wenu boko haram,alshababu na vikundi vengine vinavyotumia mwamvuli wa dini yenu kuwafanya ndugu zetu wengine hapa Afrika na kwengine duniani wasikae kwa amani.mada hapa ni kuwa mwamba alikuwa mtu makini hayo mengine ukitaka kumchafua anzisha uzi wako usituletee makobazi yako hapa
 
Kwaiyo unataka tumkumbuke au unataka afufuliwe ajadili mkataba
Sukuma gang jiwe alishaenda najua kwa iman yenu mnaamini alikua kiongozi bora ila ukwel ni kwamba alishakufa harudi na hatokuja kurudi lakin pia kukumbuka matendo yake ni kujiongezea machungu na kujipotezea mda sabu unakumbuka kitu ambacho akipo
Ata ukisifia unasifu kitu ambacho akipo na kilishapita
 
Naomba nijibu swali hili, tangu lini mwanamke akawa na akili ?!! Tukiachana na porojo za wanaharakati ukweli uko wazi kama uchi wa mbuzi, wanawake hasa huyu, ni dhaifu kuliko hata udhaifu wenyewe.
Nakumbuka ile ishu ya Kigoda kulipwa mamilioni zakhia enzi hizo akiwa waziri wa fedha, badae alipokuja kuulizwa akajibu aliingizwa chaka.
 
Back
Top Bottom