Msaidizi wa Hayati Magufuli: Pata picha saa 8 za usiku mtu anaweka hadi nne akisoma mlichompelekea

Hiyo mikataba mibovu anaijuaje na yye siyo mwanasheria???
Wanasheria tu ndio wanaojua mikataba mibovu??? Halafu

na wewe unategemea kuja kuwa kiongozi au ukute hapo

ulipo ndio kiongozi wa familia na wanakuangalia wewe, Simanzi!
 
Naona mnampiga mtu spinning ya hatari🤣🤣

vipi FDR na JAL1 ipo tayari au tumngoje mwingine???

Miss Tanzania.........
 
Wanasheria tu ndio wanaojua mikataba mibovu??? Halafu

na wewe unategemea kuja kuwa kiongozi au ukute hapo

ulipo ndio kiongozi wa familia na wanakuangalia wewe, Simanzi!
Amekwambia ana hitaji msaada wa kuongozewa family?
 
Nukuu:-

Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!

Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!

Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, Unaambiwa mwamba alikuwa akipitia nyaraka za mikataba mibovu akiwa ofisini mezani. Akichoka kukaa unaambiwa alikuwa anajilaza kwenye zulia akiwa amepiga nne miguu yake 🤣 huku akiwa amefura haswa! Akiwahurumia anaweza kutoka ofisini saa 9 na akifika ndani unaambiwa haongei na mtu yeye moja kwa moja kitandani na kupiga nne huku akiendelea kupitia nyaraka. Asubuhi yake sasa!!!!

Kuna siku alivurugwa na kutaka atembee kwa miguu hadi bandarini wakamzuilia getini!

Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.

Mfano huu mkataba mnaoupigia kelele, aiseee....!
Mwamba uchwara kaliwa na funza, he was a devil
 
Nyerere, Ben na Magu walikuwa marais wazuri kwa upande mmoja wa tabaka hapa tz.

Kwa upande wa tabaka la pili wanawakumbuka kwa mabaya zaidi. Ni tabaka lilipitia vitisho, hofu, umwagaji damu na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu japokuwa hawakuwahi kupata sauti kuhoji tawala hizo.
 
Utajibiwq ila sio kwq matakwa yako wewe mzee muacheni afanye kazi amal8ze muda wake

Tangu Tanzania iumbwe kuna kipi kimefanywa na mtanzania mwenyewe bula kusukumwa uko nje watu wanasukumwa kwemda kazini hapa tu watu wanafanya lazi kwenye balozi za nje nao shoda wanawavumilia tu hao wawekezaji
Serikali ni ya wananchi, hoja juu ya viprngele vya mkataba vinavyoiuza Tanganyika zijibiwe
 
Kaka sijakataaa ila nini hamna uelewa lete kifungu cha mkataba ambacho ujakielewe nikueleweshe
 
Kwahiyo kwanza tunakubaliana ule ni mkataba, si ndio?..., sasa kwanini serikali inang’ang’ania kusema kuwa yale ni makubaliano na si mkataba? Ukimaliza hili endelea na hilo la pili...

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Nukuu:-

Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!

Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!

Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, Unaambiwa mwamba alikuwa akipitia nyaraka za mikataba mibovu akiwa ofisini mezani. Akichoka kukaa unaambiwa alikuwa anajilaza kwenye zulia akiwa amepiga nne miguu yake [emoji1787] huku akiwa amefura haswa! Akiwahurumia anaweza kutoka ofisini saa 9 na akifika ndani unaambiwa haongei na mtu yeye moja kwa moja kitandani na kupiga nne huku akiendelea kupitia nyaraka. Asubuhi yake sasa!!!!

Kuna siku alivurugwa na kutaka atembee kwa miguu hadi bandarini wakamzuilia getini!

Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.

Mfano huu mkataba mnaoupigia kelele, aiseee....!
Ishu ya kivuko cha bagamoyo ilikuaje wakamviriga???
 
Back
Top Bottom