Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hamia BurundiTuna bahati mbaya sana awamu hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamia BurundiTuna bahati mbaya sana awamu hii.
Wanasheria tu ndio wanaojua mikataba mibovu??? HalafuHiyo mikataba mibovu anaijuaje na yye siyo mwanasheria???
Bahat mzuri ilitakaje?Tuna bahati mbaya sana awamu hii.
Amekwambia ana hitaji msaada wa kuongozewa family?Wanasheria tu ndio wanaojua mikataba mibovu??? Halafu
na wewe unategemea kuja kuwa kiongozi au ukute hapo
ulipo ndio kiongozi wa familia na wanakuangalia wewe, Simanzi!
Mwamba uchwara kaliwa na funza, he was a devilNukuu:-
Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!
Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!
Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, Unaambiwa mwamba alikuwa akipitia nyaraka za mikataba mibovu akiwa ofisini mezani. Akichoka kukaa unaambiwa alikuwa anajilaza kwenye zulia akiwa amepiga nne miguu yake 🤣 huku akiwa amefura haswa! Akiwahurumia anaweza kutoka ofisini saa 9 na akifika ndani unaambiwa haongei na mtu yeye moja kwa moja kitandani na kupiga nne huku akiendelea kupitia nyaraka. Asubuhi yake sasa!!!!
Kuna siku alivurugwa na kutaka atembee kwa miguu hadi bandarini wakamzuilia getini!
Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.
Mfano huu mkataba mnaoupigia kelele, aiseee....!
Shetani Hana la kukumbukwaAlikuwa anaipika nchi na tuliona.
Alikuwa shujaa na anakumbukwa sana na wanyongeeMwamba uchwara kaliwa na funza, he was a devil
Mlidanganywa. VibayaMwamba
Ni mkeo pekeee ndio anamua ivyoMwanamke anaamua kwa kuhisi
Mwanaume anaamua kwa kufikiria
SawaMlidanganywa. Vibaya
Kuna uchizi aliwaachia piaSawa
Nukuu:-
Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!
Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!
Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, Unaambiwa mwamba alikuwa akipitia nyaraka za mikataba mibovu akiwa ofisini mezani. Akichoka kukaa unaambiwa alikuwa anajilaza kwenye zulia akiwa amepiga nne miguu yake 🤣 huku akiwa amefura haswa! Akiwahurumia anaweza kutoka ofisini saa 9 na akifika ndani unaambiwa haongei na mtu yeye moja kwa moja kitandani na kupiga nne huku akiendelea kupitia nyaraka. Asubuhi yake sasa!!!!
Kuna siku alivurugwa na kutaka atembee kwa miguu hadi bandarini wakamzuilia getini!
Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.
Mfano huu mkataba mnaoupigia kelele, aiseee....!
Ni kweli kulingana na mtazamo wakoKuna uchizi aliwaachia pia
Serikali ni ya wananchi, hoja juu ya viprngele vya mkataba vinavyoiuza Tanganyika zijibiweUtajibiwq ila sio kwq matakwa yako wewe mzee muacheni afanye kazi amal8ze muda wake
Tangu Tanzania iumbwe kuna kipi kimefanywa na mtanzania mwenyewe bula kusukumwa uko nje watu wanasukumwa kwemda kazini hapa tu watu wanafanya lazi kwenye balozi za nje nao shoda wanawavumilia tu hao wawekezaji
Kaka sijakataaa ila nini hamna uelewa lete kifungu cha mkataba ambacho ujakielewe nikuelewesheSerikali ni ya wananchi, hoja juu ya viprngele vya mkataba vinavyoiuza Tanganyika zijibiwe
Kwahiyo kwanza tunakubaliana ule ni mkataba, si ndio?..., sasa kwanini serikali inang’ang’ania kusema kuwa yale ni makubaliano na si mkataba? Ukimaliza hili endelea na hilo la pili...Kaka sijakataaa ila nini hamna uelewa lete kifungu cha mkataba ambacho ujakielewe nikueleweshe
Ishu ya kivuko cha bagamoyo ilikuaje wakamviriga???Nukuu:-
Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!
Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!
Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, Unaambiwa mwamba alikuwa akipitia nyaraka za mikataba mibovu akiwa ofisini mezani. Akichoka kukaa unaambiwa alikuwa anajilaza kwenye zulia akiwa amepiga nne miguu yake [emoji1787] huku akiwa amefura haswa! Akiwahurumia anaweza kutoka ofisini saa 9 na akifika ndani unaambiwa haongei na mtu yeye moja kwa moja kitandani na kupiga nne huku akiendelea kupitia nyaraka. Asubuhi yake sasa!!!!