dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Project yake ya Kwanza hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Project yake ya Kwanza hiyo.
Kwa hiyo ile ya alphonce mawazo ilikuwa sinemaCDM washaanza tena kutengeneza cinema zao, kesho wanaharakati uchwara waongezee chumvi.
Ndio ‘bi-tozo’ apate somo, watu wakitaka kufanya yao wanatengeneza mazingira tu.
Huyu mama amemkosea sana Magufuli aliekuwa na nia njema ya kuwainua watu wenye maisha ya chini na kuiendeleza Tanzania kwa kurudi tulipokuwa prior to 2015.
DuhMsaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
Hii balaa sasaUchaguzi unakaribia ccm wameanza kuonyesha sura Yao halisi.
Balance shobo.Hakuna kitu kibaya Kama kumchukia binadamu mwenzio kwa kuhisi mwenye hofu ya Mungu hawezi kuwaza kitu Kama hicho, povu ruhusa nishawazoea
Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
UKIWEZA TUWEKEE HIYO CLIP TAFADHALIMsaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Mhe. Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam juzi, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku.
Hii imekuja baada ya Tundu lissu kutoa hotuba ya Muelekeo wa serikali ,Chama chake na CCM kw ujumla..
"Anaandika Askofu mwamakula"
Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
Sources-
Askofu mwamakula...X
View attachment 2799823
Clip ya Nini Mkuu!UKIWEZA TUWEKEE HIYO CLIP TAFADHALI
Mambo yameanza tena,kama Rais Samiah ni mtu makini alifuatilie hili ili wanaohusika na njama hizi wajulikane mara moja.Ambapo kama watakuwa watu wa CHADEMA wajulikane mara moja,kama ni watu wa CCM wajulikane mara moja,Kama ni watu wa Zito Kabwe wajulikane mara moja,kama ni watu wa ni watu wa Makonda wajulikane mara moja,kama ni watu wa Nape wajulikane mara moja.Tanzania tunaelekea wapi??Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Mhe. Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam juzi, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku.
Hii imekuja baada ya Tundu lissu kutoa hotuba ya Muelekeo wa serikali ,Chama chake na CCM kw ujumla..
"Anaandika Askofu mwamakula"
Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
Sources-
Askofu mwamakula...X
View attachment 2799823
Hii ni kwwli kabisa mkuu,Ila mimi nahisi ni watu wa CHADEMA maana kuisema serikali hajaanza leo ila kaigusa chadem tu kazi ikaanzaMambo yameanza tena,kama Rais Samiah ni mtu makini alifuatilie hili ili wanaohusika na njama hizi wajulikane mara moja.Ambapo kama watakuwa watu wa CHADEMA wajulikane mara moja,kama ni watu wa CCM wajulikane mara moja,Kama ni watu wa Zito Kabwe wajulikane mara moja,kama ni watu wa ni watu wa Makonda wajulikane mara moja,kama ni watu wa Nape wajulikane mara moja.Tanzania tunaelekea wapi??
Hawa wengine vibaka tu acha wacharangwe akili ziwakae sawaProject yake ya Kwanza hiyo.
Sawa hata kama ni Watu wa CHADEMA ni lazima wajulikane kwa mujibu wa sheria ili hadhira ya Watanzania watambue kinachoendelea na sheria ichukue mkondo wake.Hii ni kwwli kabisa mkuu,Ila mimi nahisi ni watu wa CHADEMA maana kuisema serikali hajaanza leo ila kaigusa chadem tu kazi ikaanza
Mkuu umewahi kupita kwenye uzi wa Dark days 17/03/2020..Sawa hata kama ni Watu wa CHADEMA ni lazima wajulikane kwa mujibu wa sheria ili hadhira ya Watanzania watambue kinachoendelea na sheria ichukue mkondo wake.
HapanaMkuu umewahi kupita kwenye uzi wa Dark days 17/03/2020..
wa yoga?
Watu mnapenda kujipa umuhimu na kuapa bure, sasa utamfanya nini makonda wewe?Nakuapia safari hii hatabaki salama,jino kwa jino.
Yap, mafia kazini.DAB amerudi upya?