Msaidizi wa Lissu adaiwa kujeruhiwa na mapanga na watu wasiojulikana

CDM washaanza tena kutengeneza cinema zao, kesho wanaharakati uchwara waongezee chumvi.

Ndio ‘bi-tozo’ apate somo, watu wakitaka kufanya yao wanatengeneza mazingira tu.

Huyu mama amemkosea sana Magufuli aliekuwa na nia njema ya kuwainua watu wenye maisha ya chini na kuiendeleza Tanzania kwa kurudi tulipokuwa prior to 2015.
Kwa hiyo ile ya alphonce mawazo ilikuwa sinema

Ova
 
Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!

johnthebaptist, FaizaFoxy na wale watoa shukurani kwa taarifa, shukurani kwa vitendo tayari?
 
Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Mhe. Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam juzi, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku.

Hii imekuja baada ya Tundu Lissu kutoa hotuba ya Muelekeo wa serikali ,Chama chake na CCM kw ujumla..

"Anaandika Askofu mwamakula"
Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
Image

Sources-
Askofu mwamakula...X
Screenshot_20231101-085219.png
 
Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Mhe. Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam juzi, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku.
Hii imekuja baada ya Tundu lissu kutoa hotuba ya Muelekeo wa serikali ,Chama chake na CCM kw ujumla..

"Anaandika Askofu mwamakula"
Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
Image

Sources-
Askofu mwamakula...X
View attachment 2799823
UKIWEZA TUWEKEE HIYO CLIP TAFADHALI
 
Mambo yameanza tena,kama Rais Samiah ni mtu makini alifuatilie hili ili wanaohusika na njama hizi wajulikane mara moja.Ambapo kama watakuwa watu wa CHADEMA wajulikane mara moja,kama ni watu wa CCM wajulikane mara moja,Kama ni watu wa Zito Kabwe wajulikane mara moja,kama ni watu wa ni watu wa Makonda wajulikane mara moja,kama ni watu wa Nape wajulikane mara moja.Tanzania tunaelekea wapi??
 
Hii ni kwwli kabisa mkuu,Ila mimi nahisi ni watu wa CHADEMA maana kuisema serikali hajaanza leo ila kaigusa chadem tu kazi ikaanza
 
Sawa hata kama ni Watu wa CHADEMA ni lazima wajulikane kwa mujibu wa sheria ili hadhira ya Watanzania watambue kinachoendelea na sheria ichukue mkondo wake.
 
Back
Top Bottom