Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Namuogopa yaaniPole, si umkaripie mwambie hupendi na hautaki hiyo tabia unakaaje kipole wakati unafirisiwa kama hauwezi hiyo kazi nipe mimi atajuta kugawa vitu bila ridhaa yako!.
Namuogopa asije akachukia akaondokaMmh!pole mkanye binti yako asiwe anagawa gawa vitu maisha ni magumu sana
Nikupe. Namba yake umpigie mkuu ujifanye ndo Baba?Ongea na mfanyakazi wako kwa upole atakuelewa.
Dah! Hiyo nyumba inataka baba!, nafasi ya baba inaonekana kabisa inatakiwa apewe mtu!..Namuogopa yaani
Sijui kaniloga?
Ndoa gani bna nipishe hukoSingle mother pole...ila inaelekea una wivu na wanandoa
Mimi ni muoga sana .huwa inanicostDah! Hiyo nyumba inataka baba!, nafasi ya baba inaonekana kabisa inatakiwa apewe mtu!..
Una muogopa dada wa kazi? Je mwenye nyumba? (If umepanga), mbna mtihani huu. LolNamuogopa yaani
Sijui kaniloga?
Mmh!ongea naye hata kwa mafumbo 🤣Namuogopa asije akachukia akaondoka
Hii kazi inabidi uimalize mwenyewe. Subiri kesho hasira na uzuni vipungue.Nikupe. Namba yake umpigie mkuu ujifanye ndo Baba?
Yaan ni serious dear? Wee em mkanye huyo HG aache uwaki, khaaah.Nikupe. Namba yake umpigie mkuu ujifanye ndo Baba?
anhaa! ipo siku hilo lidada litakuja likudunde na usiseme!, nenda kamnywee konyagi ndogo halafu mfate ukamchane makavu live...😂Mimi ni muoga sana .huwa inanicost