KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
huyu ananifaa coca nitongozee hii nikawe mbaba kwenye hiyo familia...š¤£Una muogopa dada wa kazi? Je mwenye nyumba? (If umepanga), mbna mtihani huu. Lol
huyu ananifaa coca nitongozee hii nikawe mbaba kwenye hiyo familia...š¤£Una muogopa dada wa kazi? Je mwenye nyumba? (If umepanga), mbna mtihani huu. Lol
Usithubutu kumkaripia kisha umuache na wanao.Namuogopa yaani
Sijui kaniloga?
Mkanye huyo dada anayemlaghaiJamani Nina huzuni mwenzenu acheni Tu na mvua hizi.kama nilishawahi kukukosea humu Kwanza nisamehe
Kuwa single parent jamani kila kitu kinakuzoom wewe sio mchezo.
Unajitahidi wanao basi wasipate shida.unajitesa kuweka mambo sawa .ila kuna mtu anakuja kumlaghai dada WA kazi ampe vitu na huku yeye ana mume
Kusema kweli moyo wangu unavuja damu maana Kwanza nimechoka balaa yaaani
Naombeni Tu mnifariji wenzenu maana huyu dada ni mlezi mzuri WA watoto halafu Niko nae kitambo Sana hata kabla sijazaa.drama za wasichana mnazijua
Nifanyeje jamani
Me kununua vitu kidogo kidogo siwezi kuna sikunitakuwa sina.hela iwe shida .
Bado sijafika home mkuuDah inashangaza why unamuogopa huyo dada wa kazi naamini upo home umekaa kwenye sofa unasoma comment za JF ye yuko jikoni, hebu muite kama anaitwa Pili muite "we Pili hebu njoo"
Asante kwa kunielewa mkuu.mtihani uko hapoUsithubutu kumkaripia kisha umuache na wanao.
Kama unamuhitaji tumia njia ya upole kumuelekeza.
Kazi Sana kupata mfanyakazi mzuri anae kaa vizuri na watoto.
Wengi micharuko sana.
Ni dada yakeMkanye huyo dada anayemlaghai
Asante boss
hii hali ilinipata mie kwa mke wangu mmoja,huyo beki 3 ni kugawa vitu na nguo na kula chakula kingi cha ajabu,kwa kazi ni mzuri mno na tulikuwa nae kwa miaka 15,kila njia tulifanya hola,tulimsema kwa wazazi wake hola,ikatokea bahati ya ajabu rafiki yangu mmoja akamchumbia,ikabidi nimwite mama yake,taratibu zote zikafuatwa akaolewa,huyo mdada alikuwa ni form 4,hiyo ndio ikawa salama yetuJamani Nina huzuni mwenzenu acheni Tu na mvua hizi.kama nilishawahi kukukosea humu Kwanza nisamehe
Kuwa single parent jamani kila kitu kinakuzoom wewe sio mchezo.
Unajitahidi wanao basi wasipate shida.unajitesa kuweka mambo sawa .ila kuna mtu anakuja kumlaghai dada WA kazi ampe vitu na huku yeye ana mume
Kusema kweli moyo wangu unavuja damu maana Kwanza nimechoka balaa yaaani
Naombeni Tu mnifariji wenzenu maana huyu dada ni mlezi mzuri WA watoto halafu Niko nae kitambo Sana hata kabla sijazaa.drama za wasichana mnazijua
Nifanyeje jamani
Me kununua vitu kidogo kidogo siwezi kuna sikunitakuwa sina.hela iwe shida .
Mtihani .yaani budget zeroWangu alikuwa anagawa unga, sukari, anapika chakula cha ziada anagawa, n.k.
Epuka kumfokea ama kukasirika, muelimishe kwanza kwasababu wengi huwa wametoka vijijini wanataka kuishi maisha ya kijamaa ya kijijini na pia upweke wa nyumbani unawachosha wanatafuta kampani za nje bila kujua mjini kupo tofauti
Kuna vitu namvumilia tu maana analea watoto fresh, anapika vizuri, n.k. shida yake nyingine anaacha TV ipo on muda wote
Daah mkuu kuishi na vyakula mvunguni kazi jamani daah.si kama kujifunza uchawi. SasaMpimie, Anza kufungia vitu, mpimie mchele, Unga, sukari, mafuta na unavyoweza kufungia. Atakosa vya kuwapa. Wasichana ni wapumbavu sana, wanatoka Familia duni wanakuja kujishaua mjini, Anza kununua kidogokidogo akili imkae Sawa, nyama nunua nusu ila maharage nunua mengi tu, mayai mengine fungia ndani for the time being
Ana mmeNamuogopa yaani
Sijui kaniloga?
Ni dada yake mkuu.wala haikai mtaa huu.huwa anafanya kufata mzigoHama uswahilini, hizo ni tabia za wanawake wa uswahilini
Hapana sema ana mtoto bush huko.Ana mme
Yani nyanya na vitunguu anafiliwa real?Pole, si umkaripie mwambie hupendi na hautaki hiyo tabia unakaaje kipole wakati unafirisiwa kama hauwezi hiyo kazi nipe mimi atajuta kugawa vitu bila ridhaa yako!.
Duh!...mvumilivu sana huyo..Naombeni Tu mnifariji wenzenu maana huyu dada ni mlezi mzuri WA watoto halafu Niko nae kitambo Sana hata kabla sijazaa. drama za wasichana mnazijua
Mh! ndugu kiswahili ulisomea wapi..?Yani nyanya na vitunguu anafiliwa real?