jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 5,344
- 7,118
Siyo
Kweli anatakiwa ajifanye chawa wake ili huyo mfanyakazi ajione anapendwa na amsifie kama wanavyofanya Chawa kwa Raisi wetu wana mpumbaza kwa kumsifia ili mambo yao yawe safiukifika muache afanye kazi zake then akimaliza muite mwambie mwanangu njoo tuongee kitu, mueleweshe umuhimu wa kutunza vitu, mwambie asigawegawe unahangaika kuvipata, maisha ni magumu akuelewe kama mamaake au dadaake mueleweshe kama mzazi na sio kama bosswake muahidi utampa zawadi akifanya vyema.