Balaa sanahii hali ilinipata mie kwa mke wangu mmoja,huyo beki 3 ni kugawa vitu na nguo na kula chakula kingi cha ajabu,kwa kazi ni mzuri mno na tulikuwa nae kwa miaka 15,kila njia tulifanya hola,tulimsema kwa wazazi wake hola,ikatokea bahati ya ajabu rafiki yangu mmoja akamchumbia,ikabidi nimwite mama yake,taratibu zote zikafuatwa akaolewa,huyo mdada alikuwa ni form 4,hiyo ndio ikawa salama yetu