Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,656
- 9,074
Kuwa na ndoa siyo kuwa na kila kitu, kuna wenye ndoa wana njaa kali, ongea naye kwa kina.
Yy ndo anamjua amalize mwenyeq mambo ya vjjn hayo anakuhamishia ww lakin nikwambie kitu hao wakishachoka lazma watafute kisa cha kutokea na kukuwacha na maugomvi na majirani bora anza kutafuta mdada halafu umpenmkono wa kwa heri usisubir akuwache yy kumbuka lazma hapo aondoke tena kwa sharing maana ndivo walivo wanathamini watu wa nje halfu ww hujamzaa lazma aondoke chukua ushaurHii kazi inabidi uimalize mwenyewe. Subiri kesho hasira na uzuni vipungue.
Kwa hawa wasichana unatuma nauli wk anakwambia anataka kurudi bora wafanyiwe hivo ili wakienda kwa mwengine waende na adabu hawa jumatatu anakuaga anaondoka mbali na wema wrote uliomfanyia na ww unaenda job sasa wakipata washenz ni bora ili wakumbuke walipotokaUnampenda sio unamuogopa, mna bond ya muda mrefu ni faraja yako hata km anakosea kuna namna ya kumwambia unaempenda ili usimkwaze kwanza kabla hujamwambia hakikisha amekula akashiba halafu anza na story km 2/3 za mafunzo kuhusu kugawa vitu na madhara yake na kila moja mpe funzo na yeye mpe nafasi ya kuchangia usiwe mzungumzaji peke yako usimkaripie usifanye km amri mpe uhuru wa kuamua na kuchagua kutokana na maelekezo yako usifanye km una mlazimisha kufanya hivyo ndani ya muda mfupi ataacha tu, nakumbuka kuna sehemu nilitembelea nikakuta eti msichana wa kazi anachapwa fimbo yaan akikosea adhabu yake ni fimbo anatandikwa bakora mpaka anatokwa na alama malengelenge mwilini na haondoki maana akiangalia alipotoka na alipo bora alipo kuliko alipotoka kwa hio pamoja na mateso yote ila anajikuta tu anabakia hapo, sehemu nyingine pia niliwahi tembelea yule msichana haruhusiwi kuongea na mtu yoyote akionekana anaongea na mtu yoyote basi ni kipigo anashushiwa kipigo sio kawaida na boss wake eti kwanini unaongea na watu usiowajua, kwingine nilikuta msichana haruhusiwi kujenga ukaribu na watu wa nje si tukazoeana na mimi mwezi uliofuata nikakuta wamemfukuza wameleta msichana mwingine sababu nini eti anazoeana sana na watu
Yani unavumiliaa upuuzi wa beki 3 miaka 15?????hii hali ilinipata mie kwa mke wangu mmoja,huyo beki 3 ni kugawa vitu na nguo na kula chakula kingi cha ajabu,kwa kazi ni mzuri mno na tulikuwa nae kwa miaka 15,kila njia tulifanya hola,tulimsema kwa wazazi wake hola,ikatokea bahati ya ajabu rafiki yangu mmoja akamchumbia,ikabidi nimwite mama yake,taratibu zote zikafuatwa akaolewa,huyo mdada alikuwa ni form 4,hiyo ndio ikawa salama yetu
Yy ndo anamjua amalize mwenyeq mambo ya vjjn hayo anakuhamishia ww lakin nikwambie kitu hao wakishachoka lazma watafute kisa cha kutokea na kukuwacha na maugomvi na majirani bora anza kutafuta mdada halafu umpenmkono wa kwa heri usisubir akuwache yy kumbuka lazma hapo aondoke tena kwa sharing maana ndivo walivo wanathamini watu wa nje halfu ww hujamzaa lazma aondoke chukua ushaur
ndio,kipi cha ajabu?Yani unavumiliaa upuuzi wa beki 3 miaka 15?????
Wakusemeshwa hv sio bek 2 3ukifika muache afanye kazi zake then akimaliza muite mwambie mwanangu njoo tuongee kitu, mueleweshe umuhimu wa kutunza vitu, mwambie asigawegawe unahangaika kuvipata, maisha ni magumu akuelewe kama mamaake au dadaake mueleweshe kama mzazi na sio kama bosswake muahidi utampa zawadi akifanya vyema.
Au amchukulie bwana wake awe anamrejeshea gap analopigwa na mke kupitia beki 3Mkanye huyo dada anayemlaghai
Huyu hapa kweli anawajua wafanyakazi big up mama ajitayarishe hajui saa wala sikuUshauri wa maana kabisa ni kufungia vitu vyako....mi nishalala hadi na vitunguu uvunguni kisa huu ujinga.
Wakimaliza kula vitu vyako watamtafutia kazi kwingine, jipange.
Huyo anaemlaghai si ana mume. Mchukulie mume wake. Huyo mume atakuwa anafidia vile alivyochukua mke wake🤣Jamani Nina huzuni mwenzenu acheni Tu na mvua hizi.kama nilishawahi kukukosea humu Kwanza nisamehe
Kuwa single parent jamani kila kitu kinakuzoom wewe sio mchezo.
Unajitahidi wanao basi wasipate shida.unajitesa kuweka mambo sawa .ila kuna mtu anakuja kumlaghai dada WA kazi ampe vitu na huku yeye ana mume
Kusema kweli moyo wangu unavuja damu maana Kwanza nimechoka balaa yaaani
Naombeni Tu mnifariji wenzenu maana huyu dada ni mlezi mzuri WA watoto halafu Niko nae kitambo Sana hata kabla sijazaa.drama za wasichana mnazijua
Nifanyeje jamani
Me kununua vitu kidogo kidogo siwezi kuna sikunitakuwa sina.hela iwe shida .
Wanakula mbata za kushato, huwa sitaki masikhara ktk mambo ya msingi.madam inaonekana wanao wakileta za kuleta wanakula.mbata hutaki utani.
Em sema kweli, nifanye mafekeche ili awe wizzo ake. 😂😂😂😂huyu ananifaa coca nitongozee hii nikawe mbaba kwenye hiyo familia...🤣
Cocastick kama cocasticWanakula mbata za kushato, huwa sitaki masikhara ktk mambo ya msingi.
unaogopa nini..?Em sema kweli, nifanye mafekeche ili awe wizzo ake. 😂😂😂😂
Sina cha kuogopa mie.unaogopa nini..?