Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Mwambie ajifunze maisha hapo akikosea hata kwake kutamshindaHapana sema ana mtoto bush huko.
Mwambie ajifunze maisha hapo akikosea hata kwake kutamshindaHapana sema ana mtoto bush huko.
Ahaaa sitaki kucheka mieYani nyanya na vitunguu anafiliwa real?
ukifika muache afanye kazi zake then akimaliza muite mwambie mwanangu njoo tuongee kitu, mueleweshe umuhimu wa kutunza vitu, mwambie asigawegawe unahangaika kuvipata, maisha ni magumu akuelewe kama mamaake au dadaake mueleweshe kama mzazi na sio kama bosswake muahidi utampa zawadi akifanya vyema.Bado sijafika home mkuu
Michele,sukari,maziwa,sabuni chochote Tu wanasombaVitu gani hivyo?
Sawa mkuu niombee nipate ujasiriukifika muache afanye kazi zake then akimaliza muite mwambie mwanangu njoo tuongee kitu, mueleweshe umuhimu wa kutunza vitu, mwambie asigawegawe unahangaika kuvipata, maisha ni magumu akuelewe kama mamaake au dadaake mueleweshe kama mzazi na sio kama bosswake muahidi utampa zawadi akifanya vyema.
Amen usikae kwa kumtazama kaa wote mmeangalia upande mmoja, it's less confrontationalSawa mkuu niombee nipate ujasiri
Hana aiseemwanzo nikajua anagawa uroda
Halafu?Mrudishe kwao
Hajuna namna kwa sasa, akiona unafungia vitu atajifunza.Daah mkuu kuishi na vyakula mvunguni kazi jamani daah.si kama kujifunza uchawi. Sasa
Na wewe gawa mshahara wakeJamani Nina huzuni mwenzenu acheni Tu na mvua hizi.kama nilishawahi kukukosea humu Kwanza nisamehe
Kuwa single parent jamani kila kitu kinakuzoom wewe sio mchezo.
Unajitahidi wanao basi wasipate shida.unajitesa kuweka mambo sawa .ila kuna mtu anakuja kumlaghai dada WA kazi ampe vitu na huku yeye ana mume
Kusema kweli moyo wangu unavuja damu maana Kwanza nimechoka balaa yaaani
Naombeni Tu mnifariji wenzenu maana huyu dada ni mlezi mzuri WA watoto halafu Niko nae kitambo Sana hata kabla sijazaa.drama za wasichana mnazijua
Nifanyeje jamani
Me kununua vitu kidogo kidogo siwezi kuna sikunitakuwa sina.hela iwe shida .
Asante dear .Niliona jirani yangu akipimia msichana chakula nikafikiri mchoyo, yaliponikuta mbona na friji la chumbani ninalo? Nampa kila kitu kwa ajili yake na watoto na extra ya emergency mbona alibadilika na akaa kwenye mstari wala sikumsema nilibadilisha lifestyle tu
Labda anajua.hata akinikosea huwa siongei.naumia Tu moyoniNa si ajabu binti ashajua unamuogopa, hamuwezagi kuficha uoga nyie watu.
Ahaaa Acha Tu nyanya na karotiamegawa nini mpka kimesababisha moyo wako uvuje dam miss
Halafu akiondoka?Na wewe gawa mshahara wake