Tafuta mume binti.Labda anajua.hata akinikosea huwa siongei.naumia Tu moyoni
aiseee pole sana,, yani hapa lazima moyo uvuje dam nduguAhaaa Acha Tu nyanya na karoti
Sukari,Michele mafuta, Hadi maziwaaiseee pole sana,, yani hapa lazima moyo uvuje dam ndugu
Nifariji kwanzaTafuta mume binti.
nakazia hapa👿Single mother pole...ila inaelekea una wivu na wanandoa
Akiondoka je ?Kata mshahara akigawa kitu! Au anajitolea?
Mwambie anachoweza kugawa kwa watu hapo ndani ni papuchi yake tu.
Utapata mwingine,Akiondoka je ?
hapa sidhani kama huwa anagawa bure,, labda kuna namna anaambiwa ndo maana,, ila kaa nae vizuri akueleze,,, umwambie aache hiyo tabiaSukari,Michele mafuta, Hadi maziwa
Mngetunza wake zenu wasingekuwa wanakuja kutuibia vyakula vyrtunakazia hapa👿
madam inaonekana wanao wakileta za kuleta wanakula.mbata hutaki utani.Yaan ni serious dear? Wee em mkanye huyo HG aache uwaki, khaaah.
Makasiriko hayo ni kwa sababu huupati mkuyenge kwa wakati...Mpaka ukiotee kiben TenNdoa gani bna nipishe huko
Ameshazoea nyumbaMichele,sukari,maziwa,sabuni chochote Tu wanasomba
KENZYJamani Nina huzuni mwenzenu acheni Tu na mvua hizi.kama nilishawahi kukukosea humu Kwanza nisamehe
Kuwa single parent jamani kila kitu kinakuzoom wewe sio mchezo.
Unajitahidi wanao basi wasipate shida.unajitesa kuweka mambo sawa .ila kuna mtu anakuja kumlaghai dada WA kazi ampe vitu na huku yeye ana mume
Kusema kweli moyo wangu unavuja damu maana Kwanza nimechoka balaa yaaani
Naombeni Tu mnifariji wenzenu maana huyu dada ni mlezi mzuri WA watoto halafu Niko nae kitambo Sana hata kabla sijazaa.drama za wasichana mnazijua
Nifanyeje jamani
Me kununua vitu kidogo kidogo siwezi kuna sikunitakuwa sina.hela iwe shida .
Kumbe kila mwamba ana udhaifu wake!Jamani Nina huzuni mwenzenu acheni Tu na mvua hizi.kama nilishawahi kukukosea humu Kwanza nisamehe
Kuwa single parent jamani kila kitu kinakuzoom wewe sio mchezo.
Unajitahidi wanao basi wasipate shida.unajitesa kuweka mambo sawa .ila kuna mtu anakuja kumlaghai dada WA kazi ampe vitu na huku yeye ana mume
Kusema kweli moyo wangu unavuja damu maana Kwanza nimechoka balaa yaaani
Naombeni Tu mnifariji wenzenu maana huyu dada ni mlezi mzuri WA watoto halafu Niko nae kitambo Sana hata kabla sijazaa.drama za wasichana mnazijua
Nifanyeje jamani
Me kununua vitu kidogo kidogo siwezi kuna sikunitakuwa sina.hela iwe shida .
Wee mwanamke material kabisa aliyekupa mtoto na kula kona hana akili. Hebu weka namba nimkanye huyo binti. PoleNikupe. Namba yake umpigie mkuu ujifanye ndo Baba?
Unampenda sio unamuogopa, mna bond ya muda mrefu ni faraja yako hata km anakosea kuna namna ya kumwambia unaempenda ili usimkwaze kwanza kabla hujamwambia hakikisha amekula akashiba halafu anza na story km 2/3 za mafunzo kuhusu kugawa vitu na madhara yake na kila moja mpe funzo na yeye mpe nafasi ya kuchangia usiwe mzungumzaji peke yako usimkaripie usifanye km amri mpe uhuru wa kuamua na kuchagua kutokana na maelekezo yako usifanye km una mlazimisha kufanya hivyo ndani ya muda mfupi ataacha tu, nakumbuka kuna sehemu nilitembelea nikakuta eti msichana wa kazi anachapwa fimbo yaan akikosea adhabu yake ni fimbo anatandikwa bakora mpaka anatokwa na alama malengelenge mwilini na haondoki maana akiangalia alipotoka na alipo bora alipo kuliko alipotoka kwa hio pamoja na mateso yote ila anajikuta tu anabakia hapo, sehemu nyingine pia niliwahi tembelea yule msichana haruhusiwi kuongea na mtu yoyote akionekana anaongea na mtu yoyote basi ni kipigo anashushiwa kipigo sio kawaida na boss wake eti kwanini unaongea na watu usiowajua, kwingine nilikuta msichana haruhusiwi kujenga ukaribu na watu wa nje si tukazoeana na mimi mwezi uliofuata nikakuta wamemfukuza wameleta msichana mwingine sababu nini eti anazoeana sana na watuNamuogopa asije akachukia akaondoka