Msaidizi wangu wa ndani anagawa vitu vyangu kwa wanandoa

Msaidizi wangu wa ndani anagawa vitu vyangu kwa wanandoa

anhaa! ipo siku hilo lidada litakuja likudunde na usiseme!, nenda kamnywee konyagi ndogo halafu mfate ukamchane makavu live...😂
Pombe inasingiziwa mengi duu 😔 yeye atafute mtu aigize Kama baba..yes father house amkemee na kumgombeza aache kugawa vitu ovyo ovyo
 
Kama umemkanya imeshindikana achana nae tafuta mrangi awe dada wa kazi wale ndio nyumbani ya roho mbaya anaweza akakunyima hata we na wanao chakula
 
Namuogopa yaani
Sijui kaniloga?
Humuogopi unaogopa ataishi na watoto vibaya, tafuta namna nzuri umwambie , huwa tunakaa na Hawa mabinti ila mara hubadilishwa na watu wa nje, ni vyema kumuambia mapema atakuja kujigawa mpaka yeye na watoto wako sasa .
 
Aaaaiiih, niogope mende? Mjusi? Panya? Real? Akat hata nyoka naweza ua mwenyewe.

Umenikumbusha tuliwahi ua Kenge shambani mie na mdogo angu, afu tukachuja mafuta yake.
NAKUPA DEDICATION
BADMAN_TUNDAMAN FT HARMONIZER
😅😅
 
Yy ndo anamjua amalize mwenyeq mambo ya vjjn hayo anakuhamishia ww lakin nikwambie kitu hao wakishachoka lazma watafute kisa cha kutokea na kukuwacha na maugomvi na majirani bora anza kutafuta mdada halafu umpenmkono wa kwa heri usisubir akuwache yy kumbuka lazma hapo aondoke tena kwa sharing maana ndivo walivo wanathamini watu wa nje halfu ww hujamzaa lazma aondoke chukua ushaur
Shukrani
 
Single mama kuna wakati mnazingua. Kuna jirani yangu hapa karibu na dukani kwangu ni single mama mwenye mtoto kama wa miaka 9... kila mara huwa naona dogo hata kama kuna baridi havai sweta wala jacket... siku moja nikiwa serious nimemkazia macho nikamuuliza kwanini huvai sweta au jacket wakati kuna baridi? Akawa hana cha kujibu... nikamwambia iwe mwisho kukuona hivyo. Mama yake akasema bora umenisaidia kumwambia maana huwa hasikii... nikashangaa sana. Bahati nzuri dogo kaacha hiyo tabia.
Ahaaa tuna mambo mengi hatupendi kufokafoka
 
Namuogopa asije akachukia akaondoka
Weee mpe ukweli wake yaani wasichana wa kazi ukiwachekea sana wanakupanda kichwani na akijua unamuogopa atakupeleka utafurahi nakwambia, subiri watu waanze kupanga foleni wageuze kwako ndo dukani haya, maana Kuna wanawake hawana huruma Wala aibu ptuuuh..!!
 
Jamani Nina huzuni mwenzenu acheni Tu na mvua hizi.kama nilishawahi kukukosea humu Kwanza nisamehe
Kuwa single parent jamani kila kitu kinakuzoom wewe sio mchezo.

Unajitahidi wanao basi wasipate shida.unajitesa kuweka mambo sawa .ila kuna mtu anakuja kumlaghai dada WA kazi ampe vitu na huku yeye ana mume

Kusema kweli moyo wangu unavuja damu maana Kwanza nimechoka balaa yaaani

Naombeni Tu mnifariji wenzenu maana huyu dada ni mlezi mzuri WA watoto halafu Niko nae kitambo Sana hata kabla sijazaa.drama za wasichana mnazijua

Nifanyeje jamani

Me kununua vitu kidogo kidogo siwezi kuna sikunitakuwa sina.hela iwe shida .

Muonye sana sana, msamehe na sahau, pia muonye na huyo mwanaume, akirudia muondoe tu taratibu, everybody deserve a second chance!
 
Back
Top Bottom