Uchaguzi 2020 Msajili amwandikia barua Maalim Seif akimtaka ajieleze kwanini kapanda jukwaa moja na Tundu Lissu kule Kilimanjaro!

Mrema ni mgombea wa chama gani?
Buberwa, je Seif anagombea nini huku bara. Huku Bara Seif ni moiga kura tu kama wewe au mimi na ana haki ya kwenda mkutano wa mgombea urais yeyote anayetaka yeye, ikiwamo rais Magufuli kusikiliza hotuba zake ili ajue anamchagua nani katika uchaguzi wa rais wa Jamhuri.

F
 
Mbona leo Mrema kapanda Jukwaa moja na MAGUFULI huko kilimanjaro? kama ana ubavu amwandikie na Magufuli sasa....hivyo visheria vyao vya kipumbavu walivyowatungia wapinzani mwisho ni tarehe 28 by any means
Kwani yeye ni Mgombea Urais acheni kujitoa ufahamu kwa sababu ya kutetea ujinga
 
Utanyooka tu hao mabeberu yako!
 
Wamejikaanga kwa mafuta yao., Katiba waliandaa wenyewe na walijua kuwa kama wana mgombea wa chama chao hawaruhusiwi kumpigia debe mgombea wa chama kingine. Kwa maana hiyo ACT wamevunja katiba yao wenyewe ambayo ilisajiliwa na Msajili na kuwapa uhalali wa kuwa chama cha siasa. Kama ikithibitika wamekiuka katiba yao na masharti ya usajili hakuna namna wapewe adhabu tu...
 
22 October 2020
Pemba, Tanzania

Maalim Seif akifunga Kampeni 2020 kisiwani Pemba


Source : Swahili Villa
 
Zanzibar wako jukwaa moja!Sasa ingieni mkenge mfanye makosa muone ilivyo rahisi kupoteza amani ya nchi!
 
Katiba ya ACT.

Msajili wa vyama nakuomba sana izingatiwe.

Maalim Seif amepoteza uhalali wa kuwa Mgombea wa Urais.

Katiba ya ACT ipo wazi hilo lizingatiwe, tafadhali sana.
Pia katiba hiyo inasema mtu ataenguliwa uanachama na vikao vya vyama!So mpaka sasa ni mwanachama na kama amekosea chama kinaweza kumsamehe!Usilazimishe msajili ndiye awe mwamuzi wa vikao vya nidhamu vya vyama!!!!
Mpaka chama kikae ni baada ya uchaguzi!!So subirini baada ya uchaguzi😁😁😁😁😁😁😁!
Wako na akili kubwa,hawakurupuki!
 
point kuntu
 
Mbona leo Mrema kapanda Jukwaa moja na MAGUFULI huko kilimanjaro? kama ana ubavu amwandikie na Magufuli sasa....hivyo visheria vyao vya kipumbavu walivyowatungia wapinzani mwisho ni tarehe 28 by any means
We ndio mpumbavu tena unafikiri Mrema ni boya kama hao viongozi wa CDM na ACT. Mkutano mkuu wa TLP ulikuwa live wakimpitisha Magufuri kuwa ndio mgombea wao Uraisi. Nadhani nyie Maboya wa kisiasa watu wa kulialia mlishuhudia mkutano mkuu wa TLP wa Mr Mrema CCM iliwakilishwa na Polepole. Leo mnalialia na kujifanya mnamjibu msajili kishujaa, ngojeni muone kitakachompata huyo ajuza maalim Seif.
 
Maalim amepanda jukwaa kama wafanyavyo viongozi wa dini, sheria za ZEC hazihusiki bara na sheria za NEC haziihusu Zanzibar.
 
miCCM ni mijitu mitutusa sana. Wanamuita Maalim aende kujieleza kwa sababu ambayo haipo kwenye maadili ya uchaguzi? Mis**ge kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…