Mnaolazimisha hii issue ya ushirikiano wa Mrema&Magufuli na Seif&Lisu zilingane hamna hoja.
Sheria ya uchaguzi inataka huo ushirikiano upitie vikao halali vya chama husika na huo mkataba wa ushirikiano upelekwe kwa Msajili wa vyama miezi mitatu kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza.
Mkutano Mkuu wa Taifa wa TLP ulikaa na kumpitisha Magufuli tarehe 9 May 2020 huku Msajili Nyahoza na Polepole wakiwa waalikwa hapo.
ACT na CDM kama wangekuwa wamewasilisha mkataba wa ushirikiano means kusingekuwepo wagombea wawili wa urais (Hii ni common sense tu)
Mpaka kampeni zinaanza wanadai wako kwenye mazungumzo,hiyo miezi mitatu wameitoa wapi?
Utawala wa sheria mnaodai kuuheshimu ndo huo siyo kukurupuka tu.