Uchaguzi 2020 Msajili amwandikia barua Maalim Seif akimtaka ajieleze kwanini kapanda jukwaa moja na Tundu Lissu kule Kilimanjaro!

Uchaguzi 2020 Msajili amwandikia barua Maalim Seif akimtaka ajieleze kwanini kapanda jukwaa moja na Tundu Lissu kule Kilimanjaro!

Mrema hajapanda hata jukwaa kuhutubia!
Rais alimfuata kumsalimia, Maalim katika zake Zanzibar , kapanda jukwaa na kumuombea kura Lisu!

Au mnata kurudisha Mpira kwapani?

093ffc51-1138-4d86-8f8d-698a84dcf16b.jpg
 
Huyu msajili unaweza ukatamani mzee wake angepiga nyeto kuliko kumzaa anyanyase wapinzani wa ccm na kupindisha sheria kiasi hiki.
 
Mbona leo Mrema kapanda Jukwaa moja na MAGUFULI huko kilimanjaro? kama ana ubavu amwandikie na Magufuli sasa....hivyo visheria vyao vya kipumbavu walivyowatungia wapinzani mwisho ni tarehe 28 by any means
Tatizo wapinzani wetu nao inafika time wanatuvunja moyo sana, nadhani umesikia ya leo pale msimamizi wa chadema kupewa fomu akaipokea na kuondoka nayo haina jina wala sahihi ya mkurugenzi wa uchaguzi.
 
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT wazalendo maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lisu wa Chadema kumpigia kampeni.

Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.

Maendeleo hayana vyama!
Jamani Maalim yuko kwenye kifungo alitakiwa asijihusishe navsiada Mrema yeye aliisha amua awali kabla ya nia kua tawapigia debe ccm Chadema mlipewa hiyo opportunity mkachagua Membe sasa mnacomplicate mambo
 
Mrema hajapanda hata jukwaa kuhutubia!
Rais alimfuata kumsalimia, Maalim katika zake Zanzibar , kapanda jukwaa na kumuombea kura Lisu!

Au mnata kurudisha Mpira kwapani?

Then Huyo Raisi wako ndio kasafiri kumfata mrema, so naye mtamuandikia barua ya kumfata mrema eti bashiru?
 
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT wazalendo maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lisu wa Chadema kumpigia kampeni.

Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.

Maendeleo hayana vyama!
Awaandikie pia Rais wa Uganda aliyeomba kura kwa Mgombea wa ccm.
 
Mrema amesafiri kwenda wapi?
Tatizo kusafiri au? Uzezeta unawasumbua sana nyie watu.ndiyo maana hakuna mwanaccm unakuta anasisitiza haki. Na watu wapumbavu aina ya msajiri ndiyo vipenzi vyenu Lichama limejaa mashetani sana hilo. Ndiyo maana mlishindwana na mkaguzi mzee Asadi baada ya kutaka ahasi Mungu Kwa faida zenu.
 
Back
Top Bottom