OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mahera anachojua ni kukenua tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana tunasema tume hii sio huru na uchaguzi huu hauwezi kuwa huru ba haki maana tume inaonesha upendeleo wa wazi!Kusema kuwa na Mrema naye aandikiwe barua kwa kuwa naye amefanya hivyo ni utetezi wa kitoto sana.
Nilidhani kabla ya kufanya jambo linaloweza kuwatia kwenye mgogoro basi walau Mtu uwe na hoja zinazokuacha salama badala ya kusema tu "mbona na fulani amefanya".
Katika mazingira kama haya ya tume iliyopo nilidhani Wapinzani wangekuwa makini zaidi badala ya kukiuka sheria makusudi na kusubiri uadhibiwe ili utafute huruma ya Wananchi.
Na tunavyoijua tume mnaweza mkaadhibiwa na Mgombea wa ccm akaachwa na ikabaki hivyo...sasa sijui itakuwa mmepata au mmepunguza.
Hivi ukishateuliwa unatakiwa kuteuliwa tena?Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT wazalendo maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lisu wa Chadema kumpigia kampeni.
Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.
Maendeleo hayana vyama!
Sheria inazungumzia Chama fulani kuungana na cha kingine,hazisemi kuhusu kama kimesimamisha mgombea au la nyie punguan wahed!Kwani Mrema kasimamisha mgombea yeyote mbona hata hizo kanuni hamzisomi mnaamka na mihemuko tu.
Tatizo unawaza vitu vyako binafsi nje ya tuhuma.Haya ni matumizi mabaya ya bongo zenu!Hivi mnajitambua mnavyotetea ujinga?Hoja hapa ni kusafiri au kupanda jukwaani?Acheni kujifanya mazwazwa,period!
Kosa ni kusafiri au kupanda jukwaani?Tatizo unawaza vitu vyako binafsi nje ya tuhuma.
Kasome tuhuma kwanza ndio utajua nani huyo zwazwa ambae hatumii ubongo
Mbona Mrema pia alipanda 2015, haikuwa noma leo imakuwaje?Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT wazalendo maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lisu wa Chadema kumpigia kampeni.
Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.
Maendeleo hayana vyama!
Tume pale nafikiri ni weupe sana!Upo sahihi mkuu, tuna katiba ya kijinga sn ya kumwabudu mtu mmoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT wazalendo maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lisu wa Chadema kumpigia kampeni.
Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.
Maendeleo hayana vyama!
Katiba ya ACT Wazalendo inasimamiwa na wanachama wake kwenye vikao vyao.umeandika kirefuuuuu umeacha kusoma katiba ya ACT WAZALENDO
View attachment 1607446
Punguza kidogo ujinga, issue ni kusafiri au kupanda jukwaa moja?Mrema amesafiri kwenda wapi?
Mrema aliliweka hili sawa tangu mwanzo na hana mgombea urais tofauti na Magufuli.Mbona leo Mrema kapanda Jukwaa moja na MAGUFULI huko kilimanjaro? kama ana ubavu amwandikie na Magufuli sasa....hivyo visheria vyao vya kipumbavu walivyowatungia wapinzani mwisho ni tarehe 28 by any means
Hawa bendera fuata upepo wanajua hilo? Hawajui kwamba ukisimamisha mgombea wa urais halafu ukaenda kumpigia kampeni mgombea wa chama kingine ni sawa na kufanya coalitions.Mrema hana mgombea urais
Kwani chama chake kimesimamisha mgombea?Huyu msajili amwandikie basi na Lyatonga mzee wa kitonga barua ya kujieleza..
Huyu Msajili Mjinga sanaMsajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT wazalendo maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lisu wa Chadema kumpigia kampeni.
Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.
Maendeleo hayana vyama!
mnawashwawashwa wanaume ngoja tuwakune oktoba 28Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT wazalendo maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lisu wa Chadema kumpigia kampeni.
Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.
Maendeleo hayana vyama!