Huyu zezeta anaeitwa msajili ni mtu wa wapi maana sijawahi ona jitu lenye dhamana lisilojitambua kama hili dubwana.Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT wazalendo maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lisu wa Chadema kumpigia kampeni.
Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani TLP wana mgombea urais? We ndo una mawazo ya kipumbavu.Mbona leo Mrema kapanda Jukwaa moja na MAGUFULI huko kilimanjaro? kama ana ubavu amwandikie na Magufuli sasa....hivyo visheria vyao vya kipumbavu walivyowatungia wapinzani mwisho ni tarehe 28 by any means
Afu wachina wanatetea hawa wahuniMbona leo Mrema kapanda Jukwaa moja na MAGUFULI huko kilimanjaro? kama ana ubavu amwandikie na Magufuli sasa....hivyo visheria vyao vya kipumbavu walivyowatungia wapinzani mwisho ni tarehe 28 by any means
Jimboni kwake Vunjo!
This registrar and this NEC are a national disasterMsajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT wazalendo maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lisu wa Chadema kumpigia kampeni.
Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.
Maendeleo hayana vyama!
Hapo Issue ni kusafiri,au kupanda jukwaani na mgombea wa chama kingine?Mrema amesafiri kwenda wapi?
Msajili siyo Nec bwashee!This NEC is a national disaster
Mrema amesafiri kwenda wapi?
Alienda kumsalimia rais wake. Akapewa na kofiaππππ
πππ mwisho tar 28, utasubiri sanaMbona leo Mrema kapanda Jukwaa moja na MAGUFULI huko kilimanjaro? kama ana ubavu amwandikie na Magufuli sasa....hivyo visheria vyao vya kipumbavu walivyowatungia wapinzani mwisho ni tarehe 28 by any means
Mawakala 1000 wa Chadema Arusha mjini waapishwa Mawakala 1000 wa Chadema Arusha mjini waapishwa
Hawa bendera fuata upepo wanajua hilo? Hawajui kwamba ukisimamisha mgombea wa urais halafu ukaenda kumpigia kampeni mgombea wa chama kingine ni sawa na kufanya coalitions.
Kumbuka magufuli japo ni mgombea lakini bado ni Rais. Kwahiyo anatekeleza majukumu yake ya urais kama kawaida.Hao marais wengine walikuja kwa ziara za kikazi, siyo kupiga Kampeni. Lakini hakuna sheria iliyokataza marais wa jirani kumuombea kura Rais wa nchi nyingine aliye madarakani.Ningemuona huyo msajili ana akili kama angemuandikia magufuli ajieleze kwanini analeta marais wa nchi nyingine kumuombea kura, na sio kuzuia Watanzania kuombeana kura kwenye nchi yao. Halafu hawa wanaofanya huu utoto nii watu wazima kabisa.
Na wewe akili zako ni za hapa na pale au umejitoa ufahamu kwa makusudi!Mnaolazimisha hii issue ya ushirikiano wa Mrema&Magufuli na Seif&Lisu zilingane hamna hoja.
Sheria ya uchaguzi inataka huo ushirikiano upitie vikao halali vya chama husika na huo mkataba wa ushirikiano upelekwe kwa Msajili wa vyama miezi mitatu kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza.
Mkutano Mkuu wa Taifa wa TLP ulikaa na kumpitisha Magufuli tarehe 9 May 2020 huku Msajili Nyahoza na Polepole wakiwa waalikwa hapo.
ACT na CDM kama wangekuwa wamewasilisha mkataba wa ushirikiano means kusingekuwepo wagombea wawili wa urais (Hii ni common sense tu)
Mpaka kampeni zinaanza wanadai wako kwenye mazungumzo,hiyo miezi mitatu wameitoa wapi?
Utawala wa sheria mnaodai kuuheshimu ndo huo siyo kukurupuka tu.