Msajili awapiga rungu jingine CHADEMA, kwa madai Sugu kuongea lugha za matusi, dhidi ya wanasiasa wenzake

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Ni kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inazunguka ndani ya mtego uliowekwa na Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya kuandikiwa tena barua ya ofisi hiyo ikitakiwa kujieleza kwa nini isisimamishiwe usajili kutokana na kukiuka masharti ya Sheria ya vyama vya siasa.

Rungu hili la msajili linakuja ikiwa ni wiki chache tu tangu Mei 7, 2026, Msajili akikitaka Chadema kujieleza kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria, ikiwemo kusimamishwa au kutozwa faini kwa madai ya ukiukaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa.

Baada ya Chadema kudai hivi karibu tayari imejibu barua hiyo ya Msajili, leo Mei 29, 2026 Mwananchi imeshuhudia barua nyingine ya Msajili ya Mei 26, 2026 ikiitaka Chadema kujieleza kwa nini isichukuliwe hatua kwa kukiuka Sheria ya Vyama vya Siasa.

Leo Mei 29, 2026 Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza akizungumza na Mwananchi amesema barua waliyoiandikia Chadema hawajakiuka amri ya mahakama kwa kuwa hili ni tukio jipya.

Soma Pia: Msajili wa Vyama vya Siasa Ailima barua CHADEMA na kuipa Siku 13 Kujieleza Dhidi ya Tuhuma za Ukiukwaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa

"Hiyo ni barua yetu tumewaandikia, wengine wanasema tumekiuka amri ya mahakama hapana, amri ya mahakama ilikuwa ya barua ya mwanzo hili ni tukio lingine halihusiani na like hili ni jambo jipya kabisa," amesema.

Msajili katika barua hiyo ameeleza kuwa katika mitandao ya kijamii zipo video zikiaonesha Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi, akiongea lugha/maneo ya matusi, kashfa na dhihaka dhidi ya wanasiasa wenzake katika mkutano wa hadhara wa chama hicho.
 
Tangu lini neno 'matako' likawa tusi?
 
Safi sanaa . Niliandika sana humu jukwaani kuiomba Ofisi ya Msajili iichukulie hatua kali sana CHADEMA ikiwepo kusimamishwa kufanya mikutano ya kisiasa Majukwaani. Kutokana na Vitendo vya kujirudia vya Sugu Mbunge wa zamani wa Meya Mjini Ambaye amekuwa akitumia lugha za matusi na udhalilishaji.

Asante Ofisi ya Msajili kwa kusikiliza kilio na malalamiko ya watanzania.

Watanzania ndio waliotaka Msajili kuichukulia Hatua kali CHADEMA
 
NB Matter-call yako
 
Samahani mjomba hivi unavutaga Bangi

Mazafakas wanadhani wanaisaidia Serikali ya CCM, kumbe wanazidi kuiweka kwenye kona!
 
Shosty Nyahoza ni msenge tu manina zake apuuzwe.
 
Safi sanaa . Niliandika sana humu jukwaani kuiomba Ofisi ya Msajili iichukulie hatua kali sana CHADEMA ikiwepo kusimamishwa kufanya mikutano ya kisiasa Majukwaani. Kutokana na Vitendo vya kujirudia vya Sugu Mbunge wa zamani wa Meya Mjini Ambaye amekuwa akitumia lugha za matusi na udhalilishaji.

Asante Ofisi ya Msajili kwa kusikiliza kilio na malalamiko ya watanzania.

Watanzania ndio waliotaka Msajili kuichukulia Hatua kali CHADEMA
Wewe ni matako tu na Abdul anakukojolea daily
 
Ninafurahishwa na hatua anazochukua msajili dhidi ya viongozi wa CHADEMA wanaotumia lugha za matusi jukwaani. Ninamsihi msajili afanye kazi yake aliyosomea kwa kukifuta hiki chama kwa sababu ndo hitaji la wananchi wengi kwa sasa.
 
Back
Top Bottom