MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kwa hiyo CHADEMA mnalilia haki ya kutukana?Cdm na ccm ni vyama vya siasa hivyo watende haki na siyo kuipendelea ccm.

Kwa hiyo CHADEMA mnalilia haki ya kutukana?
Msajili hajielewi kwenye hotuba ya Sugu hakukitaja chama chochote wala mwanasiasa yeyote yule!Ni kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inazunguka ndani ya mtego uliowekwa na Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya kuandikiwa tena barua ya ofisi hiyo ikitakiwa kujieleza kwa nini isisimamishiwe usajili kutokana na kukiuka masharti ya Sheria ya vyama vya siasa.
Rungu hili la msajili linakuja ikiwa ni wiki chache tu tangu Mei 7, 2026, Msajili akikitaka Chadema kujieleza kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria, ikiwemo kusimamishwa au kutozwa faini kwa madai ya ukiukaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa.
Baada ya Chadema kudai hivi karibu tayari imejibu barua hiyo ya Msajili, leo Mei 29, 2026 Mwananchi imeshuhudia barua nyingine ya Msajili ya Mei 26, 2026 ikiitaka Chadema kujieleza kwa nini isichukuliwe hatua kwa kukiuka Sheria ya Vyama vya Siasa.
Leo Mei 29, 2026 Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza akizungumza na Mwananchi amesema barua waliyoiandikia Chadema hawajakiuka amri ya mahakama kwa kuwa hili ni tukio jipya.
Soma Pia: Msajili wa Vyama vya Siasa Ailima barua CHADEMA na kuipa Siku 13 Kujieleza Dhidi ya Tuhuma za Ukiukwaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa
"Hiyo ni barua yetu tumewaandikia, wengine wanasema tumekiuka amri ya mahakama hapana, amri ya mahakama ilikuwa ya barua ya mwanzo hili ni tukio lingine halihusiani na like hili ni jambo jipya kabisa," amesema.
Msajili katika barua hiyo ameeleza kuwa katika mitandao ya kijamii zipo video zikiaonesha Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi, akiongea lugha/maneo ya matusi, kashfa na dhihaka dhidi ya wanasiasa wenzake katika mkutano wa hadhara wa chama hicho.
Huyu dogo havuti bangi mzee anapambania payroll yake ya buku saba kila cku! So lazima ajitoe akili yote!!Samahani mjomba hivi unavutaga Bangi
Poor conclusion.Kwa hiyo CHADEMA mnalilia haki ya kutukana?
Huyo pimbi bora angekuwa anavuta mmea angekuwa na akili!Samahani mjomba hivi unavutaga Bangi
Kwahiyo neno matako ni tusi?Sugu anaweza kumwambia Askofu wake Matako yake?
Hilo sio tusi ndio maana hata wewe umeweza kuliandikaIli lisiwe tusi umwambie Askofu wako "matako yako"
Msajili nae hana akili.Ni kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inazunguka ndani ya mtego uliowekwa na Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya kuandikiwa tena barua ya ofisi hiyo ikitakiwa kujieleza kwa nini isisimamishiwe usajili kutokana na kukiuka masharti ya Sheria ya vyama vya siasa.
Rungu hili la msajili linakuja ikiwa ni wiki chache tu tangu Mei 7, 2026, Msajili akikitaka Chadema kujieleza kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria, ikiwemo kusimamishwa au kutozwa faini kwa madai ya ukiukaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa.
Baada ya Chadema kudai hivi karibu tayari imejibu barua hiyo ya Msajili, leo Mei 29, 2026 Mwananchi imeshuhudia barua nyingine ya Msajili ya Mei 26, 2026 ikiitaka Chadema kujieleza kwa nini isichukuliwe hatua kwa kukiuka Sheria ya Vyama vya Siasa.
Leo Mei 29, 2026 Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza akizungumza na Mwananchi amesema barua waliyoiandikia Chadema hawajakiuka amri ya mahakama kwa kuwa hili ni tukio jipya.
Soma Pia: Msajili wa Vyama vya Siasa Ailima barua CHADEMA na kuipa Siku 13 Kujieleza Dhidi ya Tuhuma za Ukiukwaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa
"Hiyo ni barua yetu tumewaandikia, wengine wanasema tumekiuka amri ya mahakama hapana, amri ya mahakama ilikuwa ya barua ya mwanzo hili ni tukio lingine halihusiani na like hili ni jambo jipya kabisa," amesema.
Msajili katika barua hiyo ameeleza kuwa katika mitandao ya kijamii zipo video zikiaonesha Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi, akiongea lugha/maneo ya matusi, kashfa na dhihaka dhidi ya wanasiasa wenzake katika mkutano wa hadhara wa chama hicho.
Unadhani basi kwa nini huwezi kumwambia Askofu wako 'Matako yako' ?Hilo sio tusi ndio maana hata wewe umeweza kuliandika
Tusi ni nini ili liwe tusi je kutaja viungo vyako vya ndani ni tusi?!
Hiki chama kinaongozwa na Mapopoma, mana haiwezekani chama chenye watu makini kiwe na lundo la kuvunja Sheria, kanuni na taratibu tulizojiwekea kama nchi.Ni kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inazunguka ndani ya mtego uliowekwa na Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya kuandikiwa tena barua ya ofisi hiyo ikitakiwa kujieleza kwa nini isisimamishiwe usajili kutokana na kukiuka masharti ya Sheria ya vyama vya siasa.
Rungu hili la msajili linakuja ikiwa ni wiki chache tu tangu Mei 7, 2026, Msajili akikitaka Chadema kujieleza kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria, ikiwemo kusimamishwa au kutozwa faini kwa madai ya ukiukaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa.
Baada ya Chadema kudai hivi karibu tayari imejibu barua hiyo ya Msajili, leo Mei 29, 2026 Mwananchi imeshuhudia barua nyingine ya Msajili ya Mei 26, 2026 ikiitaka Chadema kujieleza kwa nini isichukuliwe hatua kwa kukiuka Sheria ya Vyama vya Siasa.
Leo Mei 29, 2026 Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza akizungumza na Mwananchi amesema barua waliyoiandikia Chadema hawajakiuka amri ya mahakama kwa kuwa hili ni tukio jipya.
Soma Pia: Msajili wa Vyama vya Siasa Ailima barua CHADEMA na kuipa Siku 13 Kujieleza Dhidi ya Tuhuma za Ukiukwaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa
"Hiyo ni barua yetu tumewaandikia, wengine wanasema tumekiuka amri ya mahakama hapana, amri ya mahakama ilikuwa ya barua ya mwanzo hili ni tukio lingine halihusiani na like hili ni jambo jipya kabisa," amesema.
Msajili katika barua hiyo ameeleza kuwa katika mitandao ya kijamii zipo video zikiaonesha Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi, akiongea lugha/maneo ya matusi, kashfa na dhihaka dhidi ya wanasiasa wenzake katika mkutano wa hadhara wa chama hicho.
Masikini akipata matako hulia mbwata.Ni kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inazunguka ndani ya mtego uliowekwa na Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya kuandikiwa tena barua ya ofisi hiyo ikitakiwa kujieleza kwa nini isisimamishiwe usajili kutokana na kukiuka masharti ya Sheria ya vyama vya siasa.