Msajili awapiga rungu jingine CHADEMA, kwa madai Sugu kuongea lugha za matusi, dhidi ya wanasiasa wenzake

Ni kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inazunguka ndani ya mtego uliowekwa na Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya kuandikiwa tena barua ya ofisi hiyo ikitakiwa kujieleza kwa nini isisimamishiwe usajili kutokana na kukiuka masharti ya Sheria ya vyama vya siasa.

Rungu hili la msajili linakuja ikiwa ni wiki chache tu tangu Mei 7, 2026, Msajili akikitaka Chadema kujieleza kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria, ikiwemo kusimamishwa au kutozwa faini kwa madai ya ukiukaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa.

Baada ya Chadema kudai hivi karibu tayari imejibu barua hiyo ya Msajili, leo Mei 29, 2026 Mwananchi imeshuhudia barua nyingine ya Msajili ya Mei 26, 2026 ikiitaka Chadema kujieleza kwa nini isichukuliwe hatua kwa kukiuka Sheria ya Vyama vya Siasa.

Leo Mei 29, 2026 Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza akizungumza na Mwananchi amesema barua waliyoiandikia Chadema hawajakiuka amri ya mahakama kwa kuwa hili ni tukio jipya.

Soma Pia: Msajili wa Vyama vya Siasa Ailima barua CHADEMA na kuipa Siku 13 Kujieleza Dhidi ya Tuhuma za Ukiukwaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa

"Hiyo ni barua yetu tumewaandikia, wengine wanasema tumekiuka amri ya mahakama hapana, amri ya mahakama ilikuwa ya barua ya mwanzo hili ni tukio lingine halihusiani na like hili ni jambo jipya kabisa," amesema.

Msajili katika barua hiyo ameeleza kuwa katika mitandao ya kijamii zipo video zikiaonesha Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi, akiongea lugha/maneo ya matusi, kashfa na dhihaka dhidi ya wanasiasa wenzake katika mkutano wa hadhara wa chama hicho.
Mimi nikifikiria atakifungia Chama cha CCM , Kwa kubaka raia, na kufifisha juhudi za demokrasia
 
Huyo shosty nyahoza ni shetani punguani. Yaani anaumizwa na neno matako, lakini linachekelea mauaji yanayofanywa na CCM. Mara ngapi CCM imetoa kauli za ajabu na za kishetani, lakini hilp shosty hatujasikia limewatumia barua yoyote!
 
Ni kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inazunguka ndani ya mtego uliowekwa na Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya kuandikiwa tena barua ya ofisi hiyo ikitakiwa kujieleza kwa nini isisimamishiwe usajili kutokana na kukiuka masharti ya Sheria ya vyama vya siasa.

Rungu hili la msajili linakuja ikiwa ni wiki chache tu tangu Mei 7, 2026, Msajili akikitaka Chadema kujieleza kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria, ikiwemo kusimamishwa au kutozwa faini kwa madai ya ukiukaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa.

Baada ya Chadema kudai hivi karibu tayari imejibu barua hiyo ya Msajili, leo Mei 29, 2026 Mwananchi imeshuhudia barua nyingine ya Msajili ya Mei 26, 2026 ikiitaka Chadema kujieleza kwa nini isichukuliwe hatua kwa kukiuka Sheria ya Vyama vya Siasa.

Leo Mei 29, 2026 Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza akizungumza na Mwananchi amesema barua waliyoiandikia Chadema hawajakiuka amri ya mahakama kwa kuwa hili ni tukio jipya.

Soma Pia: Msajili wa Vyama vya Siasa Ailima barua CHADEMA na kuipa Siku 13 Kujieleza Dhidi ya Tuhuma za Ukiukwaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa

"Hiyo ni barua yetu tumewaandikia, wengine wanasema tumekiuka amri ya mahakama hapana, amri ya mahakama ilikuwa ya barua ya mwanzo hili ni tukio lingine halihusiani na like hili ni jambo jipya kabisa," amesema.

Msajili katika barua hiyo ameeleza kuwa katika mitandao ya kijamii zipo video zikiaonesha Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi, akiongea lugha/maneo ya matusi, kashfa na dhihaka dhidi ya wanasiasa wenzake katika mkutano wa hadhara wa chama hicho.
Hivi haya majitu mbona hayasikii kabisa? hawawezi kufanya siasa bila kutukana ?
 
Huyu msajili wa CCM mbona anahangaika sana na CHADEMA?
 
Safi sanaa . Niliandika sana humu jukwaani kuiomba Ofisi ya Msajili iichukulie hatua kali sana CHADEMA ikiwepo kusimamishwa kufanya mikutano ya kisiasa Majukwaani. Kutokana na Vitendo vya kujirudia vya Sugu Mbunge wa zamani wa Meya Mjini Ambaye amekuwa akitumia lugha za matusi na udhalilishaji.

Asante Ofisi ya Msajili kwa kusikiliza kilio na malalamiko ya watanzania.

Watanzania ndio waliotaka Msajili kuichukulia Hatua kali CHADEMA
Neno matako limetumiwa na mwanaFA kwenye wimbo alioshirikishwa na Harmonize,Sugu pia amerumia neno hili kwenye wimbo unaiitwa Danger alioshirikishwa na Madee.
BASATA hawakufungia nyimbo hizo wala kutoa onyo.
Kamusi ya msajili wa vyama vya siasa na BASATA ni tofauti?
 
Kwaiyo Chadema wameitisha mkutano kwenda kuongelea Matak(

Na Wananchi wameacha kazi zao kwenda kusikiliza matusi

Kama Taifa tunasafari ndefu.

Unaacha kazi zako kwenda kusikiliza ujinga ujinga

Naunga mkono
Wapinzani wazuiwe kukusanya Wananchi wetu.
 
Ni kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inazunguka ndani ya mtego uliowekwa na Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya kuandikiwa tena barua ya ofisi hiyo ikitakiwa kujieleza kwa nini isisimamishiwe usajili kutokana na kukiuka masharti ya Sheria ya vyama vya siasa.

Rungu hili la msajili linakuja ikiwa ni wiki chache tu tangu Mei 7, 2026, Msajili akikitaka Chadema kujieleza kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria, ikiwemo kusimamishwa au kutozwa faini kwa madai ya ukiukaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa.

Baada ya Chadema kudai hivi karibu tayari imejibu barua hiyo ya Msajili, leo Mei 29, 2026 Mwananchi imeshuhudia barua nyingine ya Msajili ya Mei 26, 2026 ikiitaka Chadema kujieleza kwa nini isichukuliwe hatua kwa kukiuka Sheria ya Vyama vya Siasa.

Leo Mei 29, 2026 Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza akizungumza na Mwananchi amesema barua waliyoiandikia Chadema hawajakiuka amri ya mahakama kwa kuwa hili ni tukio jipya.

Soma Pia: Msajili wa Vyama vya Siasa Ailima barua CHADEMA na kuipa Siku 13 Kujieleza Dhidi ya Tuhuma za Ukiukwaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa

"Hiyo ni barua yetu tumewaandikia, wengine wanasema tumekiuka amri ya mahakama hapana, amri ya mahakama ilikuwa ya barua ya mwanzo hili ni tukio lingine halihusiani na like hili ni jambo jipya kabisa," amesema.

Msajili katika barua hiyo ameeleza kuwa katika mitandao ya kijamii zipo video zikiaonesha Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi, akiongea lugha/maneo ya matusi, kashfa na dhihaka dhidi ya wanasiasa wenzake katika mkutano wa hadhara wa chama hicho.
Barua ya msajili ni kama love letter yenye tuhuma za kishamba kabisa!
ccm wameshiriki mara ngapi kwenye kauli tata? Mbona hatuoni akiwaandikia mabarua yake ya mapenzi?
Mwenyekiti wao majuzi kawapongeza Polisi kwa kutekeleza kazi iliyotukuka October 29. Je, kuna makosa makubwa kwenye kauli kuliko ile pale?
Mchemba ni mara ngapi anadai wanaoripotiwa kutekwa na kuteswa ni mipango ya kuichafua serikali? Kauli ngumu kama hiyo mbona msajili huandika barua kudai maelezo zaidi na ushahidi ukapelekwa panapohusika?

Tunaposema tunahitaji taasisi independent ndo kama hivi... Yaani mtu anajitokeza tu ghafla baada ya kuvimbiwa na kufanya anavyotaka...
Msajili ni ofisi inayotakiwa kukaliwa na watu wenye uwezo na nia njema na Tanganyika!

Kutoka hapa tulipo tunahitaji taasisi imara na si watu machawa kwenye taasisi hopeless!
We can do better!
 
Ni kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inazunguka ndani ya mtego uliowekwa na Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya kuandikiwa tena barua ya ofisi hiyo ikitakiwa kujieleza kwa nini isisimamishiwe usajili kutokana na kukiuka masharti ya Sheria ya vyama vya siasa.

Rungu hili la msajili linakuja ikiwa ni wiki chache tu tangu Mei 7, 2026, Msajili akikitaka Chadema kujieleza kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria, ikiwemo kusimamishwa au kutozwa faini kwa madai ya ukiukaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa.

Baada ya Chadema kudai hivi karibu tayari imejibu barua hiyo ya Msajili, leo Mei 29, 2026 Mwananchi imeshuhudia barua nyingine ya Msajili ya Mei 26, 2026 ikiitaka Chadema kujieleza kwa nini isichukuliwe hatua kwa kukiuka Sheria ya Vyama vya Siasa.

Leo Mei 29, 2026 Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza akizungumza na Mwananchi amesema barua waliyoiandikia Chadema hawajakiuka amri ya mahakama kwa kuwa hili ni tukio jipya.

Soma Pia: Msajili wa Vyama vya Siasa Ailima barua CHADEMA na kuipa Siku 13 Kujieleza Dhidi ya Tuhuma za Ukiukwaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa

"Hiyo ni barua yetu tumewaandikia, wengine wanasema tumekiuka amri ya mahakama hapana, amri ya mahakama ilikuwa ya barua ya mwanzo hili ni tukio lingine halihusiani na like hili ni jambo jipya kabisa," amesema.

Msajili katika barua hiyo ameeleza kuwa katika mitandao ya kijamii zipo video zikiaonesha Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi, akiongea lugha/maneo ya matusi, kashfa na dhihaka dhidi ya wanasiasa wenzake katika mkutano wa hadhara wa chama hicho.
Barua ya kwanza niliona kama CHADEMA wameonewa ila ya pili ni sahihi walimwe barua. Nimefuatilia sana mkutano wao walipokuwa Dodoma, na niliandika hivi👇👇👇👇👇

7112772f-05ba-4149-b1f0-83ccba932dd0.png
 
Ni kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inazunguka ndani ya mtego uliowekwa na Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya kuandikiwa tena barua ya ofisi hiyo ikitakiwa kujieleza kwa nini isisimamishiwe usajili kutokana na kukiuka masharti ya Sheria ya vyama vya siasa.

Rungu hili la msajili linakuja ikiwa ni wiki chache tu tangu Mei 7, 2026, Msajili akikitaka Chadema kujieleza kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria, ikiwemo kusimamishwa au kutozwa faini kwa madai ya ukiukaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa.

Baada ya Chadema kudai hivi karibu tayari imejibu barua hiyo ya Msajili, leo Mei 29, 2026 Mwananchi imeshuhudia barua nyingine ya Msajili ya Mei 26, 2026 ikiitaka Chadema kujieleza kwa nini isichukuliwe hatua kwa kukiuka Sheria ya Vyama vya Siasa.

Leo Mei 29, 2026 Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza akizungumza na Mwananchi amesema barua waliyoiandikia Chadema hawajakiuka amri ya mahakama kwa kuwa hili ni tukio jipya.

Soma Pia: Msajili wa Vyama vya Siasa Ailima barua CHADEMA na kuipa Siku 13 Kujieleza Dhidi ya Tuhuma za Ukiukwaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa

"Hiyo ni barua yetu tumewaandikia, wengine wanasema tumekiuka amri ya mahakama hapana, amri ya mahakama ilikuwa ya barua ya mwanzo hili ni tukio lingine halihusiani na like hili ni jambo jipya kabisa," amesema.

Msajili katika barua hiyo ameeleza kuwa katika mitandao ya kijamii zipo video zikiaonesha Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi, akiongea lugha/maneo ya matusi, kashfa na dhihaka dhidi ya wanasiasa wenzake katika mkutano wa hadhara wa chama hicho.

Huyu Nyahoza hakuna MFIPA anayeweza kumtupia RADI tumalizane naye...!!?
 
Safi sanaa . Niliandika sana humu jukwaani kuiomba Ofisi ya Msajili iichukulie hatua kali sana CHADEMA ikiwepo kusimamishwa kufanya mikutano ya kisiasa Majukwaani. Kutokana na Vitendo vya kujirudia vya Sugu Mbunge wa zamani wa Meya Mjini Ambaye amekuwa akitumia lugha za matusi na udhalilishaji.

Asante Ofisi ya Msajili kwa kusikiliza kilio na malalamiko ya watanzania.

Watanzania ndio waliotaka Msajili kuichukulia Hatua kali CHADEMA
Vipi kuhusu ccm kauli
Screenshot_20250411_035715_TikTok.jpg
FB_IMG_1732381054839.jpg
zao ni dhahabu?
20250818_101647.jpg
 
Ni kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inazunguka ndani ya mtego uliowekwa na Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya kuandikiwa tena barua ya ofisi hiyo ikitakiwa kujieleza kwa nini isisimamishiwe usajili kutokana na kukiuka masharti ya Sheria ya vyama vya siasa.

Rungu hili la msajili linakuja ikiwa ni wiki chache tu tangu Mei 7, 2026, Msajili akikitaka Chadema kujieleza kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria, ikiwemo kusimamishwa au kutozwa faini kwa madai ya ukiukaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa.

Baada ya Chadema kudai hivi karibu tayari imejibu barua hiyo ya Msajili, leo Mei 29, 2026 Mwananchi imeshuhudia barua nyingine ya Msajili ya Mei 26, 2026 ikiitaka Chadema kujieleza kwa nini isichukuliwe hatua kwa kukiuka Sheria ya Vyama vya Siasa.

Leo Mei 29, 2026 Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza akizungumza na Mwananchi amesema barua waliyoiandikia Chadema hawajakiuka amri ya mahakama kwa kuwa hili ni tukio jipya.

Soma Pia: Msajili wa Vyama vya Siasa Ailima barua CHADEMA na kuipa Siku 13 Kujieleza Dhidi ya Tuhuma za Ukiukwaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa

"Hiyo ni barua yetu tumewaandikia, wengine wanasema tumekiuka amri ya mahakama hapana, amri ya mahakama ilikuwa ya barua ya mwanzo hili ni tukio lingine halihusiani na like hili ni jambo jipya kabisa," amesema.

Msajili katika barua hiyo ameeleza kuwa katika mitandao ya kijamii zipo video zikiaonesha Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi, akiongea lugha/maneo ya matusi, kashfa na dhihaka dhidi ya wanasiasa wenzake katika mkutano wa hadhara wa chama hicho.
Mwenye matusi ya sugu ayaweke hapa tuyatathmini 🙃🙃
 
Back
Top Bottom