ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 5,424
- 6,327
Kwani hii awamu ya Samia ccm hawatukani??? Ni lini iliyochukuliwa hatua?Kila zama na uadilifu wake!,awamu ya sita si ya tatu au nne,awamu hii niya STAHA./ Tukana ufungwe jela.
MAZOEA MABAYA YATAWALAMBA/ ACHA MAZOEA ENDANA NA WAKATI.