Uchaguzi 2020 Msajili: Mgombea aliyesema ataingiza watu barabarani kama akishindwa Urais ametoa lugha za vitisho, siyo ustaarabu

Siyo endapo atafeli huyu mtu wa nec naye mnafiki tu , kasema endapo mkimuibia kura na mkimnyima kumtangaza wakati kashinda
 
Mtungi ameishafikisha umri wa kustaafu na huyu anakutafuta hicho kiti kwa vituko ili jiwe amsikie, amteue
 
Amekosea huyo msajili, Lisu amesema iwapo atashindwa kwa kuporwa ushindi hatamuachia Mungu. Na iwapo ushindi utakuwa ni huu wa kishenzi, sioni kwanini tusibanane ili kurejesha nidhamu ya box la kura.
Haijawahi kutokea upinzani hasa chadema kukubali matokeo. Watasema tu wameporwa
 
Huyo msajili analinda kibarua chake.
Kwa hiyo anataka mtu akiibiwa kura zake afanyaje?
Acheke,alie,ajambe,akagegedane,anyamaze na kuanza kusifia mshindi au??
Ni shida kweli kuelewa hawa watu wenye nafasi za kuteuliwa..))
 
Nani ata Nani atakayethibitisha kuwa ameibiwa kura? Je ni yeye mwenyewe au mahakama? Kujificha kwenye kichaka cha kuibiwa kura kwa upinzani hakujawahi kuwasaidia.
 
Amsikilize Tena ule upumbavu wao wa kutoroka ofisi this time noooo
 
Pumbavu sana huyu msajili wa ccm.
Yule mgombea wake alipowaambia wakurugenzi kwamba nilazima wawatangaze ccm kwa sababu anawapa mshahara, gari nyumba alimkemea? Au huo ndio ustaarabu wa mgombea wake? Pumbavu kabisa
 
Nafuatilia hapa live mkutano wa Nccr Mageuzi, kama hizi thread mnazoanzisha hapa JF ndio huwa mnaokoteza maneno mawili matatu ya mtu na kuanzisha thread basi tuna msiba.

Haya sasa Joseph Butiku yupo live anavikemea vyombo vya dola anzisha uzi basi.
Nimeambiwa kuwa J. Butiku kasema CCM kuna rushwa balaa.
 
Lissu ana meremeta hadi kila mtu anamgombania[emoji111][emoji1][emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…