moto wa kifuu
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 390
- 60
Huyu dada anamnyanyasa kijinsia. Hajui kama ni mwanasheria hatari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijawahi kutokea upinzani hasa chadema kukubali matokeo. Watasema tu wameporwa
Hajakemea vyama amekemea aliyesema ataleta vurugu.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kuna nafasi nyingine, ukiwasikiliza wanaoshikilia hizo ofisi, unaweza kudhani kuwa sifa kubwa ya kuzipata hizo ofisi ni kuwa na akili ndogo.Akili ndogo siku zote hazifikirii kamwe! Tundu Lissu alisema "Wakiibiwa kura wataingia barabarani, sio kuwa wakishindwa uchaguzi". Mbona mnapenda kuwawekea watu maneno midomoni? Faki Yuu Meni!
fumbo hufumbiwa mjinga, mwelevu huling'amua ndugu...Yeye hajamtaja kwa jina!
Ukiibiwa na mwizi wako umemwona utafanya nini? Utamushukuru na kumuombea kwa Mungu?Msajili msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.
Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu.
Pia soma> Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza wananchi barabarani
Maendeleo hayana vyama!
Wanafurahia kupotosha.Akili ndogo siku zote hazifikirii kamwe! Tundu Lissu alisema "Wakiibiwa kura wataingia barabarani, sio kuwa wakishindwa uchaguzi". Mbona mnapenda kuwawekea watu maneno midomoni? Faki Yuu Meni!
Comrade ushafika dodoma?Ataingiza raia barabarani kama nani?!
Kikubwa sanduku la kura liheshimiwe! Ukweli ni kwamba tukijumlisha kura za mgombea yeyote tukakuta ameshinda lakini hajatangazwa sisi wenyewe tutaingia barabarani!Msajili msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.
Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu.
Pia soma> Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza wananchi barabarani
Maendeleo hayana vyama!
Hili liwe fundisho kwa NEC nyie ndio mna sababisha watu kuongea kwa jazba. Mmekuwa wa kulalia upande mmoja. Wakati mna takiwa kutenda haki. Hivi mngekuwa mna tenda haki haya maneno yange toka wapi?? Msiende kulaumu tuu jiulizeni kwanini haya maneno yana semwa..Msajili msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.
Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu.
Pia soma> Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza wananchi barabarani
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa..... Baada ya shughuli ya Kumdhamini Rais Magufuli kukamilika nilirejea Iringa.Comrade ushafika dodoma?
Hiyo ni lugha tu ya kisiasa........ Zamani walikuwa wanaingia msituni.Kuingiza wananchi barabarani maanake ni nini?
WapuuziHiyo ni lugha tu ya kisiasa........ Zamani walikuwa wanaingia msituni.
Maendeleo hayana vyama!