Uchaguzi 2020 Msajili: Mgombea aliyesema ataingiza watu barabarani kama akishindwa Urais ametoa lugha za vitisho, siyo ustaarabu

Huyo Msajili msaidizi, nadhani amepungukiwa kichwani. Mbona sijamsikia mgombea aliyetamka hivyo?

Nakumbuka Lisu alisema, 'kama nikishinda halafu wakaiba kura au kugoma kunitangaza, naingiza watu barabarani'. Na hilo ni sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili ndogo siku zote hazifikirii kamwe! Tundu Lissu alisema "Wakiibiwa kura wataingia barabarani, sio kuwa wakishindwa uchaguzi". Mbona mnapenda kuwawekea watu maneno midomoni? Faki Yuu Meni!
Kuna nafasi nyingine, ukiwasikiliza wanaoshikilia hizo ofisi, unaweza kudhani kuwa sifa kubwa ya kuzipata hizo ofisi ni kuwa na akili ndogo.

Hivi huyo msajili msaidizi ana akili timamu, anasikia vizuri, na anaelewa mtu anapozungumza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndo undondocha na upumbavu tunaoukataa .
Hajasema akifeli ataingiza watu barabarani.
Alisema akiibiwa kura(akinyang'anywa ushindi).
Kwahiyo mnataka wananchi tupange foleni badala ya kwenda kutafuta pesa kisha mpore kura zetu then tuendelee kumsifia Jiwe?.
Pepo la ujinga na upumbavu toka
 
Msajili msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.

Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu.

Pia soma> Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza wananchi barabarani

Maendeleo hayana vyama!
Ukiibiwa na mwizi wako umemwona utafanya nini? Utamushukuru na kumuombea kwa Mungu?
 
Akili ndogo siku zote hazifikirii kamwe! Tundu Lissu alisema "Wakiibiwa kura wataingia barabarani, sio kuwa wakishindwa uchaguzi". Mbona mnapenda kuwawekea watu maneno midomoni? Faki Yuu Meni!
Wanafurahia kupotosha.
 
Msajili msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.

Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu.

Pia soma> Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza wananchi barabarani

Maendeleo hayana vyama!
Kikubwa sanduku la kura liheshimiwe! Ukweli ni kwamba tukijumlisha kura za mgombea yeyote tukakuta ameshinda lakini hajatangazwa sisi wenyewe tutaingia barabarani!
 
Msajili msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.

Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu.

Pia soma> Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza wananchi barabarani

Maendeleo hayana vyama!
Hili liwe fundisho kwa NEC nyie ndio mna sababisha watu kuongea kwa jazba. Mmekuwa wa kulalia upande mmoja. Wakati mna takiwa kutenda haki. Hivi mngekuwa mna tenda haki haya maneno yange toka wapi?? Msiende kulaumu tuu jiulizeni kwanini haya maneno yana semwa..
 
Comrade ushafika dodoma?
Hahahaaaa..... Baada ya shughuli ya Kumdhamini Rais Magufuli kukamilika nilirejea Iringa.

Na nimejiridhisha mchungaji Msigwa atafungasha virago 28 October saa 4 asubuhi!

Kesho nitarudi tena Dodoma kushereheke Nane Nane si unajuwa hakuna ofisi inafunguliwa kesho bwashee?

Maendeleo hayana vyama
 
Back
Top Bottom