Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, ishu hapa ni kuungana sio kuunga juhudi. Msiogope hakijaharibika kitu! Ukawa pia hamkuungana.Onyo hilo lilitolewa jana jijini Dodoma na Msaidizi wa Msajili wa vyama vya siasa, Sisty Nyahoza alipofanya mahojiano kuhusu ushirikiano wa vyama vya siasa wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba.
Nyahoza alisema ushirikiano umeratibiwa vizuri na sheria kuwa vyama vinavyotaka kushirikiana lazima vitoe taarifa ofisi ya msajili kwa maandishi, lakini hadi sasa hakuna chama chochote kilicholeta taarifa, hivyo kwa uchaguzi huu vimeshachelewa.
Maoni yangu;
Wakati TLP kinampendekeza Magufuli (CCM) kuwa mgombea wake wa urais kilitoa taarifa?
Huyu msajili ni mtu duni sana ! halafu nilikuwa napitia orodha ya watakaokamatwa ndani ya masaa 6 tu tangu kuanguka kwa ccm , jina la Sisty liko namba 13Onyo hilo lilitolewa jana jijini Dodoma na Msaidizi wa Msajili wa vyama vya siasa, Sisty Nyahoza alipofanya mahojiano kuhusu ushirikiano wa vyama vya siasa wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba.
Nyahoza alisema ushirikiano umeratibiwa vizuri na sheria kuwa vyama vinavyotaka kushirikiana lazima vitoe taarifa ofisi ya msajili kwa maandishi, lakini hadi sasa hakuna chama chochote kilicholeta taarifa, hivyo kwa uchaguzi huu vimeshachelewa.
Maoni yangu;
Wakati TLP kinampendekeza Magufuli (CCM) kuwa mgombea wake wa urais kilitoa taarifa?
PLP na CCM hawana ushirikiano! Kwa ushirikiano, pande zote zinakaa chini na kuwa na maazimio ya pamoja. Lakini katika hilo mliwasikia TLP peke yake!Onyo hilo lilitolewa jana jijini Dodoma na Msaidizi wa Msajili wa vyama vya siasa, Sisty Nyahoza alipofanya mahojiano kuhusu ushirikiano wa vyama vya siasa wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba.
Nyahoza alisema ushirikiano umeratibiwa vizuri na sheria kuwa vyama vinavyotaka kushirikiana lazima vitoe taarifa ofisi ya msajili kwa maandishi, lakini hadi sasa hakuna chama chochote kilicholeta taarifa, hivyo kwa uchaguzi huu vimeshachelewa.
Maoni yangu;
Wakati TLP kinampendekeza Magufuli (CCM) kuwa mgombea wake wa urais kilitoa taarifa?
CCM Ikija kuondoka madarakani, CHADEMA itakuwa imeshasahaulika zamani sana! Itakuwa kama CONGRESS ya Mtemvu - ambaye wewe huijui na humjui!CCM wataondola Tu madarakani hakuna lenye mwanzo lisiwe na mwisho
Kila mjinga alieongea hii sentence amebaki story unamkumbuka Steven Wasira a k a Tyson unakumbuka wakati ugimbi wa madaraka ulivyokuwa kwenye kiwango cha juu kabisa baada ya mkwere kumtoa pale alipokuwa anashinda akiFreez Samaki msasani aliongea ujinga mwingi kuhusu Chadema tangu siku hizo ushawahi kumsikia Ila Chadema ipo mpaka leoCCM Ikija kuondoka madarakani, CHADEMA itakuwa imeshasahaulika zamani sana! Itakuwa kama CONGRESS ya Mtemvu - ambaye wewe huijui na humjui!
Ule muswada wa vyama vya siasa uliandaliwa, ukapitishwa na akina ndugayi na genge lake kwa ajili hiyo - kukwamisha umoja wa upinzani ili chama kongwe kiendelee kujikongojaSidhani kama kuna haja ya suala hili kusimamiwa na sheria, it’s all about internal political strategies within political parties, si suala linalohitaji govt intervention, Tume ijitafakari katika hili.
Watu watajuta awamu ya pili ya jiwe.
Kwa mapenzi yako Ewe Mungu wa Mbingu,utuondelee hili Dude linalokula na kuangamiza watoto wake.CCM wataondola Tu madarakani hakuna lenye mwanzo lisiwe na mwisho
Tulikubaliana aende,unasemaje tena awamu yake ya pili,arudi kwao maana amewekeza vya kutosha huko.Watu watajuta awamu ya pili ya jiwe.