Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
๐๐๐๐Serikali imeshamaliza mambo yote ya muhimu, kila kitu tayari sasa mnataka ifanye nini, ikae tu nyumbani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐Serikali imeshamaliza mambo yote ya muhimu, kila kitu tayari sasa mnataka ifanye nini, ikae tu nyumbani?
Mawaziri wenyewe ndio akina Nape unategemea maajabu gani mkuu?!.Hakuna serikali duni kifikra kama Tanzaniaโฆ.ujinga mtupu kuendesha hata mradi wa daladala umewashinda wanachoweza kubuni vitu vya kipuuzi tu.
Kwa sababu bandari yupo mwarabu,mwendokasi yupo mwarabu,Bado treni,ndege na meli Kwa Sasa wanashughurikia what's up, ccm oyee.Serikali imeshamaliza mambo yote ya muhimu, kila kitu tayari sasa mnataka ifanye nini, ikae tu nyumbani?
No no nimemsikiliza msemaji mwandishi amepotosha sio kweli amepotosha , Whatsapp haipoMsajili wa Taasisi zisizo za kiserikali pale Wizara ya Mambo ya Ndani mh Kihampa amevitaka vikundi vyote Vya Whatsapp kujisajili kwa mujibu wa sheria
Source: Nipashe
Acha Kelele weweKuna yake magroup ya umalaya ๐๐๐
Itakua wewe ndio unapotosha. Whatsapp ipo maana nimeanza kuiona kwenye gazeti leoNo no nimemsikiliza msemaji mwandishi amepotosha sio kweli amepotosha , Whatsapp haipo