Serikali inacho kitafuta itakipata na raia wakichoka manyanyaso itakuwa imechelewa kuzuia maana patakuwa hamna Cha kupoteza wakose wao tabaka tawala au tukose sisi tabaka tawaliwa
 
Kwa hiyo mimi na kundi langu tukalipe laki mbili?


Kundi lenyewe hatuwezi mchangia mtu hata buku 5 mtu akiumwa.

Kwahiyo tunanyimwa haki ya kujumuika pamoja kisa hatuna pesa?

Hata katiba haitaki huu ujinga.
Mimi nimelest makundi yote.Nimebakiza la familia tu.
 
Itafikia hata Kukata gogo ulipie tozo shida itakuwa wale wanao kata gogo mara kwa mara🤣🤣🤣
 
Muache kulalamika ifunguliwe kesi mahakamani kupinga hicho kitu, kule Kenya hawacheki na kima kwenye masuala kama haya.
 
Hili halijaeleweka msingi wake hasa ni nini, maana ya vyama au vikundi ni ipi? Ukikosea kujua au kuelewa maana halisi ya vyama au vikundi vyenye sifa ya kusajiliwa tutakuja sajili hadi kila familia za Tanzania nzima.

Mitandao ya jamii imetoa ajira kwa wananchi wengi sana, serikali ni kutoibana sana mitandao ya kijamii kwani serikali haiwezi toa ajira kwa watu wote, busara na hekima muhimu sana hapa itumike kuliko kufuata sheria tu inasemaje, mfano ukiua ajira mil 9 ya mitandaoni kisa sheria, hapo ni hasara kubwa kwa nchi yetu.
 
Kwa upande mwingine kuna magroup ya WhatsApp ambayo kazi yake ni kueneza ngono na ushoga! Wajisajiri na waseme kazi yao. Vinginevyo muhusika sheria itambana! Pia application ya Telegraph ni kinara katika kusambaza ushoga na ngono
 
Watu kama hawa wanafanya serikali idharaulike. Kibaya zaidi hizo laki 2 zitaishia kwenye matumbo yao. Nape na hao watendaji wake ni wapumbavu sana. Nape anamharibia sana mama kwa fikra zake za kipuuzi. Apigwe tu chini.
 
Linape lijinga sana
 
Hapa target ni pesa.... Hawa jamaa sijui wanatuonaje wananchi aseee... Badala wapambane mawasiliano yawe rahisi na hata huduma za internet zishuke bei wao wanabana wanasahau dunia sahivi mi internet... Wanambania elon musk
 
Kuna mambo mengine ukiyasikia unaweza kudhami kama unaota amavipi.

Hata maandalizi ya zoezilenyewe ni ya kipuuzitu, unaweza kusajili hayo magroup katika wilaya nzima kwa siku2??.



Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Huu ni ujinga, kitu pekee chanya kuhusu hii habari nimepata mwanya kujitoa kwenye upuuzi wa makundi ya kunifilisi na kunijazia simu yangu na contents nisizozihitaji.
 
Watu kama hawa wanafanya serikali idharaulike. Kibaya zaidi hizo laki 2 zitaishia kwenye matumbo yao. Nape na hao watendaji wake ni wapumbavu sana. Nape anamharibia sana mama kwa fikra zake za kipuuzi. Apigwe tu chini.
Unaamini wewe umepata hii habari kama ya Mama yako?
 
Serikali yetu inatia aibu sana. 😀😀😀 bora serikali tuirudishe kwa waingereza tu waendelee kututawala.
 
Umeelewa vizuri madhumuni ya hii Sheria.
Siku ikithibika kwamba serikali ya Tanzania kweli imenuia kuitumia WhatsApp kama kitega uchumi chake hapatakalika!

Siku hiyo ndio gharama ya ujinga wetu utakapodhihirika hadi kwa vilaza wetu waliotamalaki kama chawa, kupe na mende!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…