Hii nikijaribu kudhibiti taarifa za wizi wa kura chaguzi zijazo, samia ni dikteta kama Magufuli na ana tamaa ya madaraka mbaya sana
 
Kuna taasisi hazina maana kazi yao ni kutafuta mirija ya kupata hela tu 🦍
 
Niliisikia redioni nikienda mihangaikoni.
Huyu jamaa ni chenga sana sijui alikua anawaza nini
 
Ni useless kutafuta hela kwa nguvu kutoka kwa wananchi wengi wa kawaida, na kuzijaza kwenye kapu chakavu na lililotoboka.
 
Lameki Madilu system Trab Trap akili yake imeishia hapo kubuni vyanzo vya mapato.
 
Kuna grupu nimo la machimbo ya malaya wenye fremu revealed naona hii habari hawajaipata.
 
Kuna hasara au madhara gani serikali inapata kwa hayo makundi kutokusajiliwa?

Na kama yakisajiliwa kuna faida gani serikali na wasajiliwa watapata?
Serikali inapata mapato kwani kusajili kikundi mnalipa tsh laki 2.
Serikali imeishiwa pesa ya kununua Toyota Land Cruiser 300 202.
Wakisajili vikundi vyote vya whatsup zitasaidia kununua hizo mpya kazaa Kwa ajili ya kina zero brain bashite kwani amekataa kutumia Gari ya RC wa zamani
 
Tatizo watu wana kazi amabazo hazina job description.
 
Mandalizi ya watu dhaifu kushinda uchaguzi ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…