Msajili wa vyama vya siasa ni vema uifute CHADEMA kwa kuwa Chanzo cha Machafuko nchini

Una mtisha nani wewe fa.la?

Tuliwaambia acheni kuingia chaka kwa kuchochewa hamkusikia...

Sasa mnalia lia nini
Aliyefanya fujo ni ccm kwa kuleta waganda na wewe na wenzako mmeua watu, mmejitoa fahamu zote mnawasingizia uongo chadema, acheni ufala tambua kuwa watanzania siyo wajinga wanajua ukweli wote
 
Kifute hata kesho. Watanzania wamewakataa.

dhambi ya kuua itawarudia tu.
ccm wapo madarakani kwa njia haramu za kujichagua kienjeji kwa kura haramu za mifukoni kwa Tumeccm isyo na baraka za wananchi ambao ndiyo wapiga kura
 
Wewe ni mpumbavu kati ya wajinga.
Kwa mfano kungekuwa na tume huru ya uchaguzi na mambo ya kutekwa na kupotea kwa raia machafuko yasingekuwepo.
Tuipende nchi yetu kama tunavyowapenda mama zetu.
Huwezi kukubali mama yako mzazi achezewe.
Mungu Ibariki 🇹🇿.
 
Dawa ni kukifuta hiki chama

Na ndiyo chanzo cha haya machafuko na uvunjifu wa amani
Iliwahi kupendekezwa pia NCCR, na CUF vifutwe.
CCM ikikubali kurekebisha baadhi ya mambo itarejesha ushahwishi wake.

Unaongozaje taifa lenye watu wasiojulikana/wanaopotea?????
 
Okay, sawa, hizo ndio kauli za Lissu na Heche

Na kauli njema za serikali, za kinyume na hizo, zenye hoja za mashiko ziko wapi na kwa nini hazikufanya kazi ?

Ni kwa nini wananchi wasikilize ya Heche na Lissu wapuuze ya wasemaji professional wa serikali ? Eeeeeh! Kwa nini wanawazidi ushawishi, watu wako nje ya serikali ?

Ma TBC yakwenu,
ma mikutano ya kampeni ya kwenu
ma bunge na ma spika wa kwenu
ma TCRA ya kudhibiti maudhui ya kwenu
wana muziki wa kwenuo
matamko ya vyombo vya dola ya kwenu
mabango nchi nzima ya kwenu
mapesa ya kusambaza siasa zenu ya kwenu
mikutano ya hadhara ya kwenu

na cha muhimu zaidi kuliko chochote kile..... matakwimu ya kusukuma hoja zenu ya kwenu.... mmekuza uchumi mara dufu... mmepanda mihogo milioni, mmemtua mama ndoo malaki... mmeleta pedi za watoto wa kike bilioni... mmelipa madeni trilioni... mmefanya hili na lile na hili.... yote hayo mlileta sheria inayosema takwimu za umma mtatoa nyinyi!... TAKWIMU MNAKUSANYA NYINYI, MNATOA NYINYI

SASA KWA NINI WATU WACHACHE NA KIOFISI CHAO CHA UFIPA NA MIKOCHENI, WASIO NA RUZUKU WAMISHINDENI USHAWISHI KWA UMMA ??????????
 
Dawa ni kukifuta hiki chama

Na ndiyo chanzo cha haya machafuko na uvunjifu wa amani

Wakufutwa ni wauaji Samia na Kikwete pamoja na vikaragosi vyao vilivyomo ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama vinavyotekeleza utekaji na mauaji ya raia.
 
 

Attachments

  • 4b36e4b3f0a5936529725b4da585e27b.mp4
    1.8 MB
Chama cha kufutwa kama Watanzania wenye kuaminiwa kutenda kwa ajili ya Taifa hili,ccm ingeshafutwa zamani ila imeachwa hata ilipoanza kuuwa watanzania kama nyoka wa vamizi ndani ya makazi ya binadamu!
 
Dawa ni kukifuta hiki chama

Na ndiyo chanzo cha haya machafuko na uvunjifu wa amani
Walianza kudai NCCR, CUF, na Sasa CHADEMA.
Ukikifuta au kukidhoofisha hicho chama kama mlivyojaribu kwa NCCR na CUF kitaibuka chama kingine chenye nguvu zaidi.
Dawa ni kusikiliza na kufanyia kazi matakwa ya wananchi yanayo wasilishwa na hivyo vyama.
 
Tanzania YETU imejaa matahila wengi! Na Wana ujuaji wa kijinga Sana! Pumbavu kabisa wewe
 
Ajaribu aone. This time labda wapige bomu la nyuklia kuua waandamanaji wote nchini.
 
Udini unawasumbua nyinyi ndiyo maana mnamchukia samia na kumfanyia kila aina ya zengwe,na kwa kuwa mmeonesha rangi yenu wazi wazi basi tunawaambia hamtashinda kwenye vita hii
usiwe mchochezi, athari zake zitakukumba hata wewe. Toa wazo muafaka kuponya nchi na sio kuichuria kwa udini wako
 
ICC ikija itaangalia rootcause ya machafuko,haitadeal na outcomes pekee...hao mliowachochea wakinukishe wakaharibu miuondombinu ya serikali na mali za wananchi wasio na hatia kwa mgongo wa kudai katiba na tume huru ndiyo wamesababisha haya yote,na kabla ya ICC itaanza kwanza kufutwa chadema.
 
Tanzania YETU imejaa matahila wengi! Na Wana ujuaji wa kijinga Sana! Pumbavu kabisa wewe
Tukana kadiri ya uwezo wako lakini machafuko haya chanzo ni chadema na viongozi wake,na lazima kifutwe hiko chama.
Walianza kudai NCCR, CUF, na Sasa CHADEMA.
Ukikifuta au kukidhoofisha hicho chama kama mlivyojaribu kwa NCCR na CUF kitaibuka chama kingine chenye nguvu zaidi.
Dawa ni kusikiliza na kufanyia kazi matakwa ya wananchi yanayo wasilishwa na hivyo vyama.

Matakwa ya wananchi hayaletwi kwa uvunjifu wao wa amani na kuharibu mali za watu na miundombinu...

Wakitaka kupimana ubavu na vyombo vya dola,wao wanataka kuvunja amani na vyombo vinataka kulinda amani,mwisho wake wameuona.

Unaongea as if una jiweza,mlifungiwa internet days ago hatuwasikia mkifanya fyoko fyoko hapa.

Mlipigwa lockdown ya siku kadhaa tuh mkaanza kulia na kusaga meno,mjifunze kuheshimu dola
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…