Msajili wa vyama vya siasa ni vema uifute CHADEMA kwa kuwa Chanzo cha Machafuko nchini

Wanafutwaje wakti viongoz wapo gerezani, hawakushiriki uchaguzi?

Huna point is why haitofanikiwa because hakuna login
 
Serikali ilizoea kuwa na vyama vya siasa vya mchongo ,sasa imekutana na vyama ambavyo vimegoma kufanya Sanaa kwenye maisha ya watu .

Unadhani chama dola kitalala usingizi?

Mahali ilipofikia Chadema kwa sasa ,hata muifute ,tabu yenu kwa wanainji bado iko pale pale .
 
Kinachosikitisha hata ndugu zako waislam wengi wameuwawa kwenye hii massacre. Tena vijana wadogo Sana.
Pitia majina ya wahanga uone.
Hadi sheikh Shariff Majini.
Siku mkiweka dini pembeni, uzanzibar na itanganyika mrastuka mnauliwa wote.
Mnafanyiwa divide and rule.
 
Wawafute na wananchi kabisa na kukana uraia wao🤣
 
Chanzo cha maandamano ni uongozi mbovu chini ya Samia uliosababisha utekaji,ufisadi Nk.CCm na Samia watalipia hii damu na hakika watakufa.
 
Safari nyingine kama hamtarekebisha uongozi sio magari zitakazochomwa bali hata nyie machawa
 
Ana ushawishi labda kwa wajela jela wenzake tuh mwehu yule.

Na kwa vichaa ambao mnamshangilia
Kutukana wenzako kuwa ni vichaa kunadhibitisha jinsi gani huna akili bali unaendeshwa na mihemko tu.
Kwa hiyo umeshindwa kuelewa kwa nini Dunia ya wastaarabu wamemtenga mama yenu na kuunda mchakato wa kumpeleka ICJ? Unawaaibisha Mujaheedin wenzako hadi wanaona hivyo visuruali vifupi kama "beach comer" unavyo vaa ndio kimo cha akili yako.
 
 
Bunge linaanza tarehe 11 iwe hoja ya kwanza
 
😄 🤣

Ukweli wa chama gani kinatakiwa kufutwa unaujua ila unazunguka mbuyu
 

Zamani wakati niko kijana kama ww nilikuwa naombea NSSR ifutwe, Badae nikaja kuwish Cuf ifutwe,

Leo naona na wewe unatamani Chadema ifutwe

Umejifunza nini mpaka hapo?
 
Zamani wakati niko kijana kama ww nilikuwa naombea NSSR ifutwe, Badae nikaja kuwish Cuf ifutwe,

Leo naona na wewe unatamani Chadema ifutwe

Umejifunza nini mpaka hapo?
Chadema ifutwe tuh,hao ndiyo chanzo cha machafuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…