Msaki anayemiliki mjengo wa Kibo Complex anaweza akawa kwenye top 10 ya matajiri weusi Tanzania

unamnanga ..wewe una nini ?
Kwahiyo wewe unaniambia sababu sijafika networth ya Msaki basi sina haki ya kusema kosa lolote alilonalo?

Mtu yeyote duniani yupo open kwa scrunity kutoka kwa mtu yeyote duniani!

Upo hapa kubagua nani aku-criticise na nani asiku-criticise kwa kigezo cha networth!???

I see,you are good at shit showing contests!
 
Mkuu wewe unafanya biashara gani ambayo inakupatia pesa nyingi kila uchwao
 
[emoji23][emoji23][emoji23] dah. kwaheri bwana mdogo.
 
mkuu wewe unafanya biashara gani ambayo inakupatia pesa nyingi kila uchwao
Kwhaiyo tumetoka kwa Msaki umekuja kutaka kujua my business interests?

Kwahiyo hapa hoja si Msaki tena?

Hoja imegeuka ni nigga Wyatt Mathewson?

Kama ni hivyo basi nifungulie uzi tukutane huko nikupe details and then whaat?
 
Kwhaiyo tumetoka kwa Msaki umekuja kutaka kujua my business interests?

Kwahiyo hapa hoja si Msaki tena?

Hoja imegeuka ni nigga Wyatt Mathewson?

Kama ni hivyo basi nifungulie uzi tukutane huko nikupe details and then whaat?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mh Magufuli alegeze nut mana sio kwa stress hizi za kutafuta makosa kwenye biashara za watu wengine kana kwamba wanafanya biashara haramu. Nadhani hata msaki kama akipata muda kusoma huu uzi atacheka sana kwa dharau.
 
Magufuli alegeze nini ambacho wananchi wote 60mil hawapitii kama mimi?

Maji,petrol,unga,nyanya,mkate,mahindi,mchele,sukari,etc vyote tunanunua mahali pamoja!

Sasa sijui kwanini uni-single out mimi tu kati ya watu 60mil tunaoteseka nchi hii?

Maana watu 59,999,999 wanaishi maisha saaafiiii sana yasiyo na kuteseka maana wao wananunua mahitaji mbiguni kasoro mimi tu?

Mimi kuona kosa la Msaki ni sawa kabisa,ni ajabu kama asingeona yeyote!

Ndio maana mtu mdogo kama mkulima anaruhusiwa kabisa kumtoa makosa mtu mkubwa kama rais na ni haki as per laws!

Wewe kwa mujibu wa ubongo wako ni kwamba anaeruhusiwa kumtoa rais makosa ni marais wengine tu na sio yeyote yule ndani ya nchi maana ni wadogo kwake!

Dikteta wahedi kabisa!

Msaki ni mtu mwenye nafasi kwenye jamii kama alivyo waziri au rais for that matter,mimi wewe na yule ni haki yetu kuona makosa na kusema no matter who he is!

And that a real society!

Huna hii self correcting society then huna society kabisa!

Na wewe ndio unataka kutuletea huu upumbavu!

Goodluck with that!
 
kwanini watu mliosoma old moshi hamuijali shule yenu ? yani imechoka sana mtu akifika pale anaweza kusahau tupo karne ya 20 unaanza kujihisi upo mwaka 1925

Kuna tofauti kati ya Moshi mji na Moshi wa sigara.

Kuna tofauti kati Old Moshi sec old Moshi Kijiji.

Mimi sijawai Soma old Moshi. Kuusu kuijali hiloo Ni jukumu la serekali Kama inaanzisha taasisi zake inashindwa kuzijali Basi waacha kutudai Kodi tufanyie marekebisho taasisi zake
 

ah sawa mkuu,nilidhani ulisoma pale,lakini waliosoma pale wanapaswa kuikumbusha hata serikali,sijui hakuna wakaguzi wa shule kule moshi!!!
 
AlphaMale, huwezi kuwa tajiri kwa kuchunguza maisha ya watu.
 
Mada yenye kutaka kujua mengi katika mazingira ya Jengo hilo!!
Wateja wanaopata huduma katika jengo hilo waneshapatwa na matukio ya kihalifu!
Mfano ,mteja anatoka tawi la benki na kuporwa fedha zake!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…