Msaki anayemiliki mjengo wa Kibo Complex anaweza akawa kwenye top 10 ya matajiri weusi Tanzania

Unawazungumziaje Forbes??
 
Unafaa kuvishwa dera Kisha upakwe mate. Wambea Kama wewe hawastahili kupakwa mafuta
 
Jamaa mjuaji halafu mihemko kibao
Anaboa sana.. Yeye kila mahali ni kuponda tu..

Sasa anasema hizo biashara hazina dili, ina maana kila mfanyabiashara abadilishe biashara aingie huko kwenye technology?? Alafu hata kwenye Forbes top ten wealthiest men sio wote wako kwenye hayo mambo anasema..
 
Huyu jamaa wa kutoka kijiji cha Laso huko Kilema Moshi ni mpambanaji haswa
Laso tena Kilema Moshi? Hapana. Ndugu yangu ameo jirani na kwao. Anatoka Kirua Vunjo, Kijiji cha Mero. Kwao ni matajiri ilianza kwa baba yao. Kaka yake naye Taijiri. Kifupi ni watafutaji na ninasikitika yanayoongelewa hapa. Ila nimefurahi hakuna hata mmoja hapa mwenye taarifa zake sahihi. Jamaa wako reserved sana down to earth na hutawasikia popote na familia zao.
 
Mkuu msaki anahela acha wivu ana semi trellar za kutosha gari za mchanga za kutosha hotel ya double view kijitonyama tutafute hela kwa bidii.
Sio kwa bidii tu Bali Kihalali
 
Sawa
 
Mkuu wenzio wanaota usiku
 
Jamaa mjuaji mpaka anakera, lakini yeye asiyefuatilia watu namshangaa haachagi kukibu humu
Washenzi na wivu tu vinawasumbua.. Hakuna tajiri anayeumia kwa tajiri mwenzake kuongelewa.

Sasa maskini vinamka mkojo...
 
Braza ile KIBO COPLEX ni ya ANNA MKAPA yeye ni kivuli tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…