Msaki anayemiliki mjengo wa Kibo Complex anaweza akawa kwenye top 10 ya matajiri weusi Tanzania

Msaki anayemiliki mjengo wa Kibo Complex anaweza akawa kwenye top 10 ya matajiri weusi Tanzania

Waafrika hasa wabongo tuna utamaduni wa kijinga kweli kweli. Utakuta mtu anachukuwa muda wake kufuatilia maisha ya mtu na kuchunguza biashara zake zote anazofanya na kipato chake. Watu kama hawa ukiwakuta kijiweni unatakuwa wanabishana kweli kweli kati ya fulani na fulani nani ana mkwanja! Mbaya zaidi wao unakuta nguo zao zimejaa viraka na hawajui hata kesho wanakula nini!
Unawazungumziaje Forbes??
 
Unafaa kuvishwa dera Kisha upakwe mate. Wambea Kama wewe hawastahili kupakwa mafuta
 
Jamaa mjuaji halafu mihemko kibao
Anaboa sana.. Yeye kila mahali ni kuponda tu..

Sasa anasema hizo biashara hazina dili, ina maana kila mfanyabiashara abadilishe biashara aingie huko kwenye technology?? Alafu hata kwenye Forbes top ten wealthiest men sio wote wako kwenye hayo mambo anasema..
 
Huyu jamaa wa kutoka kijiji cha Laso huko Kilema Moshi ni mpambanaji haswa
Laso tena Kilema Moshi? Hapana. Ndugu yangu ameo jirani na kwao. Anatoka Kirua Vunjo, Kijiji cha Mero. Kwao ni matajiri ilianza kwa baba yao. Kaka yake naye Taijiri. Kifupi ni watafutaji na ninasikitika yanayoongelewa hapa. Ila nimefurahi hakuna hata mmoja hapa mwenye taarifa zake sahihi. Jamaa wako reserved sana down to earth na hutawasikia popote na familia zao.
 
Sawa
 
Ule mjengo wa Kibo Complex dooh si mchezo, shule ya Wazo Hill, wakala wa cement etc nahisi jamaa biashara zake zinaingiza hata bilioni 1 kwa mwezi hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana.

Halafu nasikia alipataga Div. 0 Form Six, maisha haya.
Mkuu wenzio wanaota usiku
 
Jamaa mjuaji mpaka anakera, lakini yeye asiyefuatilia watu namshangaa haachagi kukibu humu
Washenzi na wivu tu vinawasumbua.. Hakuna tajiri anayeumia kwa tajiri mwenzake kuongelewa.

Sasa maskini vinamka mkojo...
 
Ule mjengo wa Kibo Complex dooh si mchezo, shule ya Wazo Hill, wakala wa cement etc nahisi jamaa biashara zake zinaingiza hata bilioni 1 kwa mwezi hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana.

Halafu nasikia alipataga Div. 0 Form Six, maisha haya.
Braza ile KIBO COPLEX ni ya ANNA MKAPA yeye ni kivuli tu
 
Back
Top Bottom