Msalaba wa hili kanisa la African Independent Pentecostal Church of Africa(AIPCA) unamaanisha nini?

Nina allergy na Kiarabu, nataka niwe nafanya dua na kusoma rakaa Kinyakyusa,
Inawezekana?
Quran wakati unaswali usome kwa kiarabu lkn nje ya swala dua unaomba kwa lugha yako.

Lkn nikuulize maswala 3.
1. Form 4 au f6 chemistry ulijibu kwa kiswahili?
2. Bungeni wanaapa kwa lugha za makabila yao?
3. Wakiristo kwanini wasiabudu kila mtu kwa siku yake badala kuchagua jumamosi au J2? Hizo nyengine Mungu hayupo? Sasa huoni unawakosesha wengine siku hizo wanapokuwa na shughuli zao?
 
Quran wakati unaswali usome kwa kiarabu lkn nje ya swala dua unaomba kwa lugha yako.
Lkn nikuulize maswala 3.
Form 4 au f6 chemistry ulijibu kwa kiswahili?
Mimi nataka hata hiyo Quran nisome Kinyakyusa, kama haiwezekani sitaki dini yako, baki nayo na Kiarabu chako.
 
Mashahidi wa Yehova wanasema haukuwa msalaba bali mti uliosimamishwa tu kama nguzo!
Wanaweza Wakawa Sahihi Kabisa..

Nakumbuka Kwenye Textual Criticism (Bible Textual analysis) Ya New Testaments na Old testaments..
Maneno Mengi yalibadilishwa Kutoka kwenye Greek Na Kutafsiriwa Tofauti kabisa na Maana yake halisi..

Hiki ni kile Kipindi cha Kubadili Septuagint na New Testaments Greek Manusripts kwenda Kwenye Latin Na english..

Hapa ndo warumi walipotupiga Chenga Nyingi za mwili..

Neno ambalo mara Nyingi Limekuwa Lilitajwa kwenye Agano Jipya Kama Msalaba alikosulubiwa Yesu "stauros" (σταυρός) kwa Lugha Halisi ya Kigiriki kabla haijabadilishwa Maana Linamaanisha Nguzo...
Na Hiyo ndo ilikuwa Adhabu Rasmi kwa warumi Kwa makosa Makubwa tangu kale na Ilifahamika Kama mtu atakufuru au Kufanya Treason basi ata angikwa Mtini..

Sasa Kuna Maneno Mawili La kwanzo ni "stauros" (σταυρός) na La pili anakuja Nalo Mtume Paulo ambalo ni "Xylon"
Likiwa Linamaanisha Mti..

So Ukisoma Kitabu cha "A Critical Lexicon and Concordance to the English and Greek New Testament"

Utakuta Humo makosa Mengi sana Ambayo yametafsiriwa Ndivyo Sivyo Na huenda Ndiyo chanzo chetu cha Imani ila Hayana Usahihi wa Kidini Wala Kimaandishi
images (4).jpeg
 
Mimi nataka hata hiyo Quran nisome Kinyakyusa, kama haiwezekani sitaki dini yako, baki nayo na Kiarabu chako.
Unajua Hata Kumuita Roho mtakatifu Kwa wakatolic na wenyewe Wanatumia Kilatin..
Hii kitu nilishangaa sana..
 
Wanaweza Wakawa Sahihi Kabisa..

Nakumbuka Kwenye Textual Criticism (Bible Textual analysis) Ya New Testaments na Old testaments..
Maneno Mengi yalibadilishwa Kutoka kwenye Greek Na Kutafsiriwa Tofauti kabisa na Maana yake halisi..

Hiki ni kile Kipindi cha Kubadili Septuagint na New Testaments Greek Manusripts kwenda Kwenye Latin Na english..

Hapa ndo warumi walipotupiga Chenga Nyingi za mwili..

Neno ambalo mara Nyingi Limekuwa Lilitajwa kwenye Agano Jipya Kama Msalaba alikosulubiwa Yesu "stauros" (σταυρός) kwa Lugha Halisi ya Kigiriki kabla haijabadilishwa Maana Linamaanisha Nguzo...
Na Hiyo ndo ilikuwa Adhabu Rasmi kwa warumi Kwa makosa Makubwa tangu kale na Ilifahamika Kama mtu atakufuru au Kufanya Treason basi ata angikwa Mtini..

Sasa Kuna Maneno Mawili La kwanzo ni "stauros" (σταυρός) na La pili anakuja Nalo Mtume Paulo ambalo ni "Xylon"
Likiwa Linamaanisha Mti..

So Ukisoma Kitabu cha "A Critical Lexicon and Concordance to the English and Greek New Testament"

Utakuta Humo makosa Mengi sana Ambayo yametafsiriwa Ndivyo Sivyo Na huenda Ndiyo chanzo chetu cha Imani ila Hayana Usahihi wa Kidini Wala Kimaandishi
Msalaba katika Tamaduni za Kale

Tamaduni za Kipagani: Kabla ya Ukristo, msalaba ulikuwa unatumika katika tamaduni nyingi za kipagani kama alama ya ishara ya miungu, nguvu za asili, au uzazi.

Wamisri wa kale walitumia ankh, msalaba wenye duara juu, kama ishara ya uhai wa milele.

Katika tamaduni za Wababeli, msalaba ulionekana kuwa alama ya mungu Tammuz, mungu wa uzazi na kilimo.

Kama Zana ya Adhabu: Warumi walitumia msalaba kama njia ya kikatili ya kunyonga wahalifu. Adhabu ya kusulubiwa ilikuwa maarufu sana kabla ya enzi ya Kikristo, hasa katika Dola ya Roma.
 
Unaweza Ukanipa Picha au Taarifa ya Mtu yoyote aliyesulubiwa Msalbani tofauti na Yesu???

Warumi waliwatundika Mtini watu na sio msalabani..
Msalaba haukuwa Adhabu ya Kutundikwa bali mti ulikuwa Adhabu ya Kutundikwa
 
Watumwa wa Uasi wa Spartacus (73–71 K.K.):

Uasi huu, ulioongozwa na Spartacus, ulisababisha maelfu ya watumwa kusulubiwa.

Baada ya kushindwa kwa waasi, karibu watumwa 6,000 walisulubiwa kando ya barabara kuu ya Via Appia.

Hakuna majina ya kibinafsi yaliyonukuliwa, lakini Spartacus mwenyewe aliuwawa vitani na hakusulubiwa.

2. Antigonus II Mattathias (37 K.K.):

Alikuwa mfalme wa mwisho wa familia ya Hasmonia na alisulubiwa na Warumi baada ya kushindwa na Herode Mkuu.

Kifo chake kilikuwa mojawapo ya matukio ya mapema zaidi ya kisiasa yaliyohusisha kusulubiwa.

3. Watuhumiwa wa Uasi wa Roma:

Katika karne za kwanza K.K., Warumi walitumia kusulubiwa kama adhabu ya waasi. Kwa mfano:

Watumwa wa Sicily (132–130 K.K.) walioshiriki uasi mkubwa walisulubiwa, lakini majina yao hayakurekodiwa.

Waasi wa mji wa Taranto (272 K.K.) walioshindwa na Warumi pia walisulubiwa.
 
Kwa kifupi misalaba mingi tunayoiona si msalaba aliyotesewa Yesu Kristo na kutundikwa pale Golgotha. Hiyo ni misalaba ya kimasoniki, ina maumbo ya ajabu, angalieni hata ile ya makaburini maumbo yake. Ni misalaba ya vyama vya siri (secret society)
Yesu aliteswa na kina nani?
 
Watumwa wa Uasi wa Spartacus (73–71 K.K.):

Uasi huu, ulioongozwa na Spartacus, ulisababisha maelfu ya watumwa kusulubiwa.

Baada ya kushindwa kwa waasi, karibu watumwa 6,000 walisulubiwa kando ya barabara kuu ya Via Appia.

Hakuna majina ya kibinafsi yaliyonukuliwa, lakini Spartacus mwenyewe aliuwawa vitani na hakusulubiwa.
Unafahamu Walisulubiwa Kutumia Cross???
Spartacus Na slaves wote waliosulubiwa Walisulubiwa Kwa Miti Iliyokuwa Na Nembo ya T na Sio Msalaba..

2. Antigonus II Mattathias (37 K.K.):

Alikuwa mfalme wa mwisho wa familia ya Hasmonia na alisulubiwa na Warumi baada ya kushindwa na Herode Mkuu.

Kifo chake kilikuwa mojawapo ya matukio ya mapema zaidi ya kisiasa yaliyohusisha kusulubiwa.
Kifo Cha Antigonus Ii Mattathias..

images (6).jpeg

Na wala haukuwa Msalaba Ulikuwa Mti
3. Watuhumiwa wa Uasi wa Roma:

Katika karne za kwanza K.K., Warumi walitumia kusulubiwa kama adhabu ya waasi. Kwa mfano:

Watumwa wa Sicily (132–130 K.K.) walioshiriki uasi mkubwa walisulubiwa, lakini majina yao hayakurekodiwa.

Waasi wa mji wa Taranto (272 K.K.) walioshindwa na Warumi pia walisulubiwa.
Wote hao uliowataja Ni watu walioSulubiwa Kupitia Miti yaani Kungikwa..

Usitumie GPT kukupa Maelezo hayo Soma Vitabu na Elimu Ya Kihistoria Utapata Kujua
 
Msal
Unafahamu Walisulubiwa Kutumia Cross???
Spartacus Na slaves wote waliosulubiwa Walisulubiwa Kwa Miti Iliyokuwa Na Nembo ya T na Sio Msalaba..

Kifo Cha Antigonus Ii Mattathias..

View attachment 3154275
Na wala haukuwa Msalaba Ulikuwa Mti

Wote hao uliowataja Ni watu walioSulubiwa Kupitia Miti yaani Kungikwa..

Usitumie GPT kukupa Maelezo hayo Soma Vitabu na Elimu Ya Kihistoria Utapata Kujua
Zamani mti leo vyuma
 
Msalaba katika Tamaduni za Kale

Tamaduni za Kipagani: Kabla ya Ukristo, msalaba ulikuwa unatumika katika tamaduni nyingi za kipagani kama alama ya ishara ya miungu, nguvu za asili, au uzazi.

Wamisri wa kale walitumia ankh, msalaba wenye duara juu, kama ishara ya uhai wa milele.

Katika tamaduni za Wababeli, msalaba ulionekana kuwa alama ya mungu Tammuz, mungu wa uzazi na kilimo.

Kama Zana ya Adhabu: Warumi walitumia msalaba kama njia ya kikatili ya kunyonga wahalifu. Adhabu ya kusulubiwa ilikuwa maarufu sana kabla ya enzi ya Kikristo, hasa katika Dola ya Roma.
endelea kuchangia ila usilete yale mambo yako ya dini yako
 
Back
Top Bottom