PUFF DADDY
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 391
- 803
ndiomana mnafanana hadi tania.Umemtaja uyo mnyama, tayari umeshaiamsha minyoo yangu. Dah ngoja nikatafute supu yake ya kongoro nipige. Mnyama matamu sana uyu mashalah mashalah.
nguruwe nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiomana mnafanana hadi tania.Umemtaja uyo mnyama, tayari umeshaiamsha minyoo yangu. Dah ngoja nikatafute supu yake ya kongoro nipige. Mnyama matamu sana uyu mashalah mashalah.
Huo msalaba unatumiwa na makanisa ya Russian Orthodox kama wengine walivyoisha sema.Huu msalaba wa kanisa la African Independent Pentecostal Church of Africa(AIPCA) una maana gani?
Ukristo una diversity kubwa sana ya imani tofauti!
Msalaba sahihi aliosulubiwa nao Yesu Kristo ni upi?
View attachment 3154168
View attachment 3154169
Kimfaacho Mtu ChakeHaya mambo hayana cha mwenye akili na asiye na akili, ni jinsi tu unavyojisikia pamoja na urithi
Haha bado ukipandisha kule central kwa wakikuyu utakutana na wakorino,,,hao wanavaaga maremba kama ya wale singa singa ila na wao ni wakristo na wanasali kwa lugha za asiliKwangu mimi sishangai saana kwa kanisa hilo kwa maana niliwahi kufika eldoret kenya nkakuta kanisa watu wanasali jumamosi wamevaa kanzu wote wanapiga ngoma na kucheza vibe la hatari nkaja tena kisumu nikakuta makanisa mawili yalionitatiza kidg moja linaitwa RELIGION MARIA wao huita (LEJO MARIA) Hawa wanasali jumapili hawana utofaut na roman ila wanasali kwa lugha mbili kilatini na kilugha
Na kuna dhehebu lingine linaitwa ROHO
sasa hapa ndio zimegawanyika kuna roho mtakatifu roho nyota n.k hawa bhana wanasali jumamosi na wapiga ngoma watu hucheza kama wamepandisha hivi asee unaweza ukadhan upo dunia ya tofaut lkn nd imani yao.
Hivyo kwakuwa ww n mlokole msabato au muislam ukadhan dheheb lako nd best tembea uone.
Mambo ni mengi ukichunguza hata ishara ya msalaba wanayofanya wakatholiki ni up down cross. Hao watu wana codes zao wengine wanazificha wengine ziko wazi ila wote ni kitu kimoja (mbwa mwitu aliejivika ngozi ya kondoo)Huu msalaba wa kanisa la African Independent Pentecostal Church of Africa(AIPCA) una maana gani?
Ukristo una diversity kubwa sana ya imani tofauti!
Msalaba sahihi aliosulubiwa nao Yesu Kristo ni upi?
View attachment 3154168
View attachment 3154169
Wakenya wameufanyia innovations nyingi sana Ukristo 🤣Haha bado ukipandisha kule central kwa wakikuyu utakutana na wakorino,,,hao wanavaaga maremba kama ya wale singa singa ila na wao ni wakristo na wanasali kwa lugha za asiliView attachment 3154418View attachment 3154419View attachment 3154420
Jamaa wamebeba waliyoyapenda , wasiyotataka wakayaacha wakaunganisha na imani za asili zao pia ,mambo yanaendaWakenya wameufanyia innovations nyingi sana Ukristo 🤣
Sio tabia tu hadi sura nimefanana. Mashalah Mashalah check mambo ayo.ndiomana mnafanana hadi tania.
nguruwe nyie
Ni kweli kabisa kila mmoja na wazimu wakeKila mtu anakuja na uwendawazim wake
Kitabu kimeandikwa na nani?kasome kitabu kinaitwa broken cross na the lost key ufahamu aina za misalaba na wanayoitumia ni akina nani
Mkuu hakika ninao wazungumzia ndio hawa hawa kwa kisum na hata eldoret nmewakuta wanasali kiasili na kucheza ngoma asee hatar sanaHaha bado ukipandisha kule central kwa wakikuyu utakutana na wakorino,,,hao wanavaaga maremba kama ya wale singa singa ila na wao ni wakristo na wanasali kwa lugha za asiliView attachment 3154418View attachment 3154419View attachment 3154420
The Broken Cross ni kitabu kilichoandikwa na padri wa kikatoliki aitwaye Piers Compton miaka ya 1980. Kitabu kinachambua ushetani ndani ya vyama vya siri (secret societies)Kitabu kimeandikwa na nani?
Kanisa halipeleki mtu mbinguni,Sali Kwa Imani yakoHuu msalaba wa kanisa la African Independent Pentecostal Church of Africa(AIPCA) una maana gani?
Ukristo una diversity kubwa sana ya imani tofauti!
Msalaba sahihi aliosulubiwa nao Yesu Kristo ni upi?
View attachment 3154168
View attachment 3154169
namakamasi yake unakula kabisa🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮vomitingSio tabia tu hadi sura nimefanana. Mashalah Mashalah check mambo ayo.
View attachment 3154438