Msalaba wa hili kanisa la African Independent Pentecostal Church of Africa(AIPCA) unamaanisha nini?

Msalaba wa hili kanisa la African Independent Pentecostal Church of Africa(AIPCA) unamaanisha nini?

Umemtaja uyo mnyama, tayari umeshaiamsha minyoo yangu. Dah ngoja nikatafute supu yake ya kongoro nipige. Mnyama matamu sana uyu mashalah mashalah.
ndiomana mnafanana hadi tania.
nguruwe nyie
 
Kuabudu misalaba ni upagani. Ushetani unaingizwa Kanisani.
 
Wenye Akili Tunajua Hao Siyo
Hivyo Huhitaji Mzozo Nao Zaidi Unawatazama
 
Wenye Akili Tunajua Hao Siyo
Hivyo Huhitaji Mzozo Nao Zaidi Unawatazama
Haya mambo hayana cha mwenye akili na asiye na akili, ni jinsi tu unavyojisikia pamoja na urithi
 
Kwangu mimi sishangai saana kwa kanisa hilo kwa maana niliwahi kufika eldoret kenya nkakuta kanisa watu wanasali jumamosi wamevaa kanzu wote wanapiga ngoma na kucheza vibe la hatari nkaja tena kisumu nikakuta makanisa mawili yalionitatiza kidg moja linaitwa RELIGION MARIA wao huita (LEJO MARIA) Hawa wanasali jumapili hawana utofaut na roman ila wanasali kwa lugha mbili kilatini na kilugha
Na kuna dhehebu lingine linaitwa ROHO
sasa hapa ndio zimegawanyika kuna roho mtakatifu roho nyota n.k hawa bhana wanasali jumamosi na wapiga ngoma watu hucheza kama wamepandisha hivi asee unaweza ukadhan upo dunia ya tofaut lkn nd imani yao.
Hivyo kwakuwa ww n mlokole msabato au muislam ukadhan dheheb lako nd best tembea uone.
Haha bado ukipandisha kule central kwa wakikuyu utakutana na wakorino,,,hao wanavaaga maremba kama ya wale singa singa ila na wao ni wakristo na wanasali kwa lugha za asili
images-240.jpeg
images-241.jpeg
images-242.jpeg
 
Huu msalaba wa kanisa la African Independent Pentecostal Church of Africa(AIPCA) una maana gani?
Ukristo una diversity kubwa sana ya imani tofauti!
Msalaba sahihi aliosulubiwa nao Yesu Kristo ni upi?
View attachment 3154168
View attachment 3154169
Mambo ni mengi ukichunguza hata ishara ya msalaba wanayofanya wakatholiki ni up down cross. Hao watu wana codes zao wengine wanazificha wengine ziko wazi ila wote ni kitu kimoja (mbwa mwitu aliejivika ngozi ya kondoo)
 
Wakenya wameufanyia innovations nyingi sana Ukristo 🤣
Jamaa wamebeba waliyoyapenda , wasiyotataka wakayaacha wakaunganisha na imani za asili zao pia ,mambo yanaenda
 
Kitabu kimeandikwa na nani?
The Broken Cross ni kitabu kilichoandikwa na padri wa kikatoliki aitwaye Piers Compton miaka ya 1980. Kitabu kinachambua ushetani ndani ya vyama vya siri (secret societies)
 
Huko kwenye msalaba ni mbali sana, hilo jina tu "African" ....... halaf mwisho tena linaishia "of africa" was it necessary??
 
Back
Top Bottom