Dini pekee ni uislam ambao tumeletewa binaadam woteKila mtu anakuja na uwendawazim wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini pekee ni uislam ambao tumeletewa binaadam woteKila mtu anakuja na uwendawazim wake
Quran wakati unaswali usome kwa kiarabu lkn nje ya swala dua unaomba kwa lugha yako.Nina allergy na Kiarabu, nataka niwe nafanya dua na kusoma rakaa Kinyakyusa,
Inawezekana?
Mimi nataka hata hiyo Quran nisome Kinyakyusa, kama haiwezekani sitaki dini yako, baki nayo na Kiarabu chako.Quran wakati unaswali usome kwa kiarabu lkn nje ya swala dua unaomba kwa lugha yako.
Lkn nikuulize maswala 3.
Form 4 au f6 chemistry ulijibu kwa kiswahili?
Wanaweza Wakawa Sahihi Kabisa..Mashahidi wa Yehova wanasema haukuwa msalaba bali mti uliosimamishwa tu kama nguzo!
Mimi nataka hata hiyo Quran nisome Kinyakyusa, kama haiwezekani sitaki dini yako, baki nayo na Kiarabu chako.
Unajua Hata Kumuita Roho mtakatifu Kwa wakatolic na wenyewe Wanatumia Kilatin..Mimi nataka hata hiyo Quran nisome Kinyakyusa, kama haiwezekani sitaki dini yako, baki nayo na Kiarabu chako.
Msalaba katika Tamaduni za KaleWanaweza Wakawa Sahihi Kabisa..
Nakumbuka Kwenye Textual Criticism (Bible Textual analysis) Ya New Testaments na Old testaments..
Maneno Mengi yalibadilishwa Kutoka kwenye Greek Na Kutafsiriwa Tofauti kabisa na Maana yake halisi..
Hiki ni kile Kipindi cha Kubadili Septuagint na New Testaments Greek Manusripts kwenda Kwenye Latin Na english..
Hapa ndo warumi walipotupiga Chenga Nyingi za mwili..
Neno ambalo mara Nyingi Limekuwa Lilitajwa kwenye Agano Jipya Kama Msalaba alikosulubiwa Yesu "stauros" (σταυρός) kwa Lugha Halisi ya Kigiriki kabla haijabadilishwa Maana Linamaanisha Nguzo...
Na Hiyo ndo ilikuwa Adhabu Rasmi kwa warumi Kwa makosa Makubwa tangu kale na Ilifahamika Kama mtu atakufuru au Kufanya Treason basi ata angikwa Mtini..
Sasa Kuna Maneno Mawili La kwanzo ni "stauros" (σταυρός) na La pili anakuja Nalo Mtume Paulo ambalo ni "Xylon"
Likiwa Linamaanisha Mti..
So Ukisoma Kitabu cha "A Critical Lexicon and Concordance to the English and Greek New Testament"
Utakuta Humo makosa Mengi sana Ambayo yametafsiriwa Ndivyo Sivyo Na huenda Ndiyo chanzo chetu cha Imani ila Hayana Usahihi wa Kidini Wala Kimaandishi
Unaweza Ukanipa Picha au Taarifa ya Mtu yoyote aliyesulubiwa Msalbani tofauti na Yesu???Msalaba katika Tamaduni za Kale
Tamaduni za Kipagani: Kabla ya Ukristo, msalaba ulikuwa unatumika katika tamaduni nyingi za kipagani kama alama ya ishara ya miungu, nguvu za asili, au uzazi.
Wamisri wa kale walitumia ankh, msalaba wenye duara juu, kama ishara ya uhai wa milele.
Katika tamaduni za Wababeli, msalaba ulionekana kuwa alama ya mungu Tammuz, mungu wa uzazi na kilimo.
Kama Zana ya Adhabu: Warumi walitumia msalaba kama njia ya kikatili ya kunyonga wahalifu. Adhabu ya kusulubiwa ilikuwa maarufu sana kabla ya enzi ya Kikristo, hasa katika Dola ya Roma.
Watumwa wa Uasi wa Spartacus (73–71 K.K.):Unaweza Ukanipa Picha au Taarifa ya Mtu yoyote aliyesulubiwa Msalbani tofauti na Yesu???
Warumi waliwatundika Mtini watu na sio msalabani..
Msalaba haukuwa Adhabu ya Kutundikwa bali mti ulikuwa Adhabu ya Kutundikwa
Hizi imani zinamaliza wengi sana,...
Yesu aliteswa na kina nani?Kwa kifupi misalaba mingi tunayoiona si msalaba aliyotesewa Yesu Kristo na kutundikwa pale Golgotha. Hiyo ni misalaba ya kimasoniki, ina maumbo ya ajabu, angalieni hata ile ya makaburini maumbo yake. Ni misalaba ya vyama vya siri (secret society)
Unafahamu Walisulubiwa Kutumia Cross???Watumwa wa Uasi wa Spartacus (73–71 K.K.):
Uasi huu, ulioongozwa na Spartacus, ulisababisha maelfu ya watumwa kusulubiwa.
Baada ya kushindwa kwa waasi, karibu watumwa 6,000 walisulubiwa kando ya barabara kuu ya Via Appia.
Hakuna majina ya kibinafsi yaliyonukuliwa, lakini Spartacus mwenyewe aliuwawa vitani na hakusulubiwa.
Kifo Cha Antigonus Ii Mattathias..2. Antigonus II Mattathias (37 K.K.):
Alikuwa mfalme wa mwisho wa familia ya Hasmonia na alisulubiwa na Warumi baada ya kushindwa na Herode Mkuu.
Kifo chake kilikuwa mojawapo ya matukio ya mapema zaidi ya kisiasa yaliyohusisha kusulubiwa.
Wote hao uliowataja Ni watu walioSulubiwa Kupitia Miti yaani Kungikwa..3. Watuhumiwa wa Uasi wa Roma:
Katika karne za kwanza K.K., Warumi walitumia kusulubiwa kama adhabu ya waasi. Kwa mfano:
Watumwa wa Sicily (132–130 K.K.) walioshiriki uasi mkubwa walisulubiwa, lakini majina yao hayakurekodiwa.
Waasi wa mji wa Taranto (272 K.K.) walioshindwa na Warumi pia walisulubiwa.
Zamani mti leo vyumaUnafahamu Walisulubiwa Kutumia Cross???
Spartacus Na slaves wote waliosulubiwa Walisulubiwa Kwa Miti Iliyokuwa Na Nembo ya T na Sio Msalaba..
Kifo Cha Antigonus Ii Mattathias..
View attachment 3154275
Na wala haukuwa Msalaba Ulikuwa Mti
Wote hao uliowataja Ni watu walioSulubiwa Kupitia Miti yaani Kungikwa..
Usitumie GPT kukupa Maelezo hayo Soma Vitabu na Elimu Ya Kihistoria Utapata Kujua
Ila Ilikuwa Sio Msalaba Ila ni Nguzo ya MtiMsal
Zamani mti leo vyuma
endelea kuchangia ila usilete yale mambo yako ya dini yakoMsalaba katika Tamaduni za Kale
Tamaduni za Kipagani: Kabla ya Ukristo, msalaba ulikuwa unatumika katika tamaduni nyingi za kipagani kama alama ya ishara ya miungu, nguvu za asili, au uzazi.
Wamisri wa kale walitumia ankh, msalaba wenye duara juu, kama ishara ya uhai wa milele.
Katika tamaduni za Wababeli, msalaba ulionekana kuwa alama ya mungu Tammuz, mungu wa uzazi na kilimo.
Kama Zana ya Adhabu: Warumi walitumia msalaba kama njia ya kikatili ya kunyonga wahalifu. Adhabu ya kusulubiwa ilikuwa maarufu sana kabla ya enzi ya Kikristo, hasa katika Dola ya Roma.
Akikujibu nitagMsalaba sahihi aliotesewa Yesu ni upi?
ina maana hujui waliomtesa?Yesu aliteswa na kina nani?
Kwa nini??
kwasababu wanaukaribu na nguruweKwa nini??