Msalaba wa hili kanisa la African Independent Pentecostal Church of Africa(AIPCA) unamaanisha nini?

Umemtaja uyo mnyama, tayari umeshaiamsha minyoo yangu. Dah ngoja nikatafute supu yake ya kongoro nipige. Mnyama matamu sana uyu mashalah mashalah.
ndiomana mnafanana hadi tania.
nguruwe nyie
 
Kuabudu misalaba ni upagani. Ushetani unaingizwa Kanisani.
 
Wenye Akili Tunajua Hao Siyo
Hivyo Huhitaji Mzozo Nao Zaidi Unawatazama
 
Wenye Akili Tunajua Hao Siyo
Hivyo Huhitaji Mzozo Nao Zaidi Unawatazama
Haya mambo hayana cha mwenye akili na asiye na akili, ni jinsi tu unavyojisikia pamoja na urithi
 
Haha bado ukipandisha kule central kwa wakikuyu utakutana na wakorino,,,hao wanavaaga maremba kama ya wale singa singa ila na wao ni wakristo na wanasali kwa lugha za asili
 
Huu msalaba wa kanisa la African Independent Pentecostal Church of Africa(AIPCA) una maana gani?
Ukristo una diversity kubwa sana ya imani tofauti!
Msalaba sahihi aliosulubiwa nao Yesu Kristo ni upi?
View attachment 3154168
View attachment 3154169
Mambo ni mengi ukichunguza hata ishara ya msalaba wanayofanya wakatholiki ni up down cross. Hao watu wana codes zao wengine wanazificha wengine ziko wazi ila wote ni kitu kimoja (mbwa mwitu aliejivika ngozi ya kondoo)
 
Wakenya wameufanyia innovations nyingi sana Ukristo 🤣
Jamaa wamebeba waliyoyapenda , wasiyotataka wakayaacha wakaunganisha na imani za asili zao pia ,mambo yanaenda
 
Kitabu kimeandikwa na nani?
The Broken Cross ni kitabu kilichoandikwa na padri wa kikatoliki aitwaye Piers Compton miaka ya 1980. Kitabu kinachambua ushetani ndani ya vyama vya siri (secret societies)
 
Huko kwenye msalaba ni mbali sana, hilo jina tu "African" ....... halaf mwisho tena linaishia "of africa" was it necessary??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…