Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli, ni kanisa kama mengine tu.Kanisa la mashetani,majini,wanga,wachawi na vigagula sugu walioshindikana. Ikifika usiku wanaung'oa huo msalaba padri na waumini wanapanda wanaruka angani wanaweza kwenda marekani kwa trump gaza yahya sinwar bila viza.
tafuta types of crossesMsalaba sahihi aliotesewa Yesu ni upi?
Liko Kenya na lina wafuasi wengi mashuhuri tu.AFRICA INDEPENDENT PETECOSTAL CHURCH OF AFRICA-AIPA ndio nalisoma leo, sijui kama kuna kanisa hili afrika. Limesajiliwa nchi gani? Ndio kusema upentekoste umekua kiasi cha kuwa na makanisa mengi au ni abrakadabra tu? Tulishazoea akina FPCT, TAG, EAGT, KLPT, PEFA, PAG, hii AIPCA ni ngeni na msalaba wake unashangaza
makanisa yaliyoanzishwa na Yesu ndiyo makanisa haya mengine ni matapeli tu!Hili ni Kanisa Kubwa Kenya linaloheshimika,
View attachment 3154207View attachment 3154208
View attachment 3154210
Fine, lko lakini genesis yake ni ipi? Mhuni/mjanja mmoja akajitokeza kama akina Kibwetele ....Mwamposa.... Kakobe.... and the like wakaota! Kanisa ni lile aliloacha Yesu, basi wengine matapeli wa walofaLiko Kenya na lina wafuasi wengi mashuhuri tu.
Hilo kanisa halina mtumishi wa kuitwa padre tafadhaliKanisa la mashetani,majini,wanga,wachawi na vigagula sugu walioshindikana. Ikifika usiku wanaung'oa huo msalaba padri na waumini wanapanda wanaruka angani wanaweza kwenda marekani kwa trump gaza yahya sinwar bila viza.
Sasa Kama Imeandikwa Hadi Kwenye Vitabu Basi Hakuna Hizo Mnazoita Sekreti Sosayati,,,Ni Kujitia Ujuaji Kwa Tusichokielewakasome kitabu kinaitwa broken cross na the lost key ufahamu aina za misalaba na wanayoitumia ni akina nani
Huu Msalaba Ni Aina Ya Misalaba Ya Zamani saana Kabla HaijaBoreshwa Na Roman Catholic..Huu msalaba wa kanisa la African Independent Pentecostal Church of Africa(AIPCA) una maana gani?
Ukristo una diversity kubwa sana ya imani tofauti!
Msalaba sahihi aliosulubiwa nao Yesu Kristo ni upi?
View attachment 3154168
View attachment 3154169
ukiambiwa hii dunia ina wanaoiongoza nyuma ya pazia uwe unadadavua mambo. Iruhusu akili yako kuwa huru zaidi kufaragua unachokiona kama kiko sahihi au hakipo sahihi. Tafuta taarifa ufahamu ukweliSasa Kama Imeandikwa Hadi Kwenye Vitabu Basi Hakuna Hizo Mnazoita Sekreti Sosayati,,,Ni Kujitia Ujuaji Kwa Tusichokielewa
Tanzania kuna TAG na Kenya kuna KAG, je hii AIPCA ipo Tanzania?Liko Kenya na lina wafuasi wengi mashuhuri tu.