Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Wana CCM ni watu makini,magomvi yao huwa wanayamaliza na yanaisha
Kinachowaunganisha wanaccm ni dhuluma walizozifanya ndani ya nchi hii. Hivyo yoyote aliyeshiriki kwenye unyama ndani ya nchi hii, hana lolote anaweza kufanya akiwa nje ya huo mfumo haramu. Siku CCM inatoka madarakani ndio utakuwa mwisho wa wanachama wake majizi kuwa wamoja.