Msamaha: Mzee Kinana amuangukia Rais Magufuli kufuatia mazungumzo yake na makada wenzake wa CCM yaliyovuja

Msamaha: Mzee Kinana amuangukia Rais Magufuli kufuatia mazungumzo yake na makada wenzake wa CCM yaliyovuja

Baada kinana na makamba kutikiswa,nimeona kuwa mjeda ni uboya tu kama maboya wengine.
 
Kinachowaunganisha wanaccm ni dhuluma walizozifanya ndani ya nchi hii. Hivyo yoyote aliyeshiriki kwenye unyama ndani ya nchi hii, hana lolote anaweza kufanya akiwa nje ya huo mfumo haramu. Siku ccm inatoka madarakani ndio utakuwa mwisho wa wanachama wake majizi kuwa wamoja.
@tindo Acha kuwa unabwabwaja chochote kitakachokuja kichwani kwako.
 
Who is a dictator? A dictatorship is a form of government characterized by a single leader or group of leaders and little or no toleration for political pluralism or independent programs or media
Hakuna kabisa
 
Naona amebaki Mh Benard Membe, Mzee Kinana ameamua kuchutama, kafanya jambo la kiungwana sana.
Chanzo Azam.
Screenshot_20200604-180318.jpeg
 
Magufuli hajawahi kupambana na ufisadi wala mafisadi, wote aliowachukulia hatua kwa kisingizio cha ufisadi ni wale alihitilafiana nao kabla ya kuwa rais. Hivyo anachofanya ni kuwakomoa kwa kigezo cha kupambana na ufisadi. Kama kweli angekuwa anapambana na ufisadi, Kange Lugola angekuwa jela leo hii.
Swala la kange lipo kwenye uchunguzi.
Acha kuwa unaandika hovyo bila mpango, wewe ni mkorofi sana
 
Hii nayo ni habari ingawa Kinana sio wa hivyo kwa wanaomfahamu, kijani kibichi mnachelewa jengeni mahekalu muwe mnamuabudu jiwe Humo.
 
Na midege ya Air Tanzania inayopishana angani imenunuliwa kwa fedha zipi ?
Imenunuliwa kwa kodi za watanzania, lakini katika kodi za watanzania kulikuwa na 1.5T ambazo C.A.G kwenye report yake alidai kuna wajanja wamefanya yao. Sasa hao wajanja kuna siku watazitapika
 
Imenunuliwa kwa kodi za watanzania,lakini katika kodi za watanzania kulikuwa na 1.5T ambazo C.A.G kwenye report yake alidai kuna wajanja wamefanya yao..sasa hao wajanja kuna siku watazitapika
Kodi za watanzania zilizonunua ndege ndio hizo trilion 1.5. Usiwe king'ang'anizi bwashee
 
Back
Top Bottom