Wana CCM ni watu makini,magomvi yao huwa wanayamaliza na yanaisha
Yapo mengi ila wewe ndo unayaona kwa kuwa umepofuka, pia ni mawazo ya moyo wako tu kwa kuwa uliishi kwa mazoea.Who is a dictator? A dictatorship is a form of government characterized by a single leader or group of leaders and little or no toleration for political pluralism or independent programs or media
Sio kweli ni dhana tu. CCM ya Dr JPM inapambana sana na mafisadi na wabadhilifu. Hata mbowe kuna siku zile bil 8.9 alizoiba zitamtokea puaniKinachowaunganisha wanaccm ni dhuluma walizozifanya ndani ya nchi hii. Hivyo yoyote aliyeshiriki kwenye unyama ndani ya nchi hii, hana lolote anaweza kufanya akiwa nje ya huo mfumo haramu. Siku ccm inatoka madarakani ndio utakuwa mwisho wa wanachama wake majizi kuwa wamoja.
Sio kweli ni dhana tu.CCM ya dr JPM inapambana sana na mafisadi na wabadhilifu.Hata mbowe kuna siku zile bil 8.9 alizoiba zitamtokea puani
Mkuu na zile trilioni 1.5 according to C.A.G, kuna siku zitawatokea puani waliozitafunaSio kweli ni dhana tu.CCM ya dr JPM inapambana sana na mafisadi na wabadhilifu.Hata mbowe kuna siku zile bil 8.9 alizoiba zitamtokea puani
Hii hapaAcha kumzushia mzee wa watu. Mwacheni apumzike. Mbona hakuna picha/video za Nape akipembea barabara ya Ikulu kwenda kuomba msamaha? Acheni uongo wenu huo.
Kwa lipi? yaani wagombane wengine halafu nyumba ya jirani mpasuke ? akili za wapi hizi ?Bavicha watapasuka sasa
Hahahahha.. Tukiwaonya bavicha waache tabia ya kushangilia ujinga watakuja kuumbuka. Ona sasa sifa zote walizokuwa wanampa Kinana itabidi watapikeBado Jasusi M-bobezi Membe... View attachment 1468667
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
duuuh. . . . . kumekucha
Na ndio maana mimi naamini kwamba business ya CCM waachieni CCM wenyewe. Wapinzani walishaambiwa wafanye yanayowahusu hawataki kusikia.Hahahahha.. Tukiwaonya bavicha waache tabia ya kushangilia ujinga watakuja kuumbuka. Ona sasa sifa zote walizokuwa wanampa Kinana itabidi watapike
Mkuu si ni ninyi bavicha mlikuwa mnashangilia hapa mkisema Kinana ni mwana misimamo hawezi kumpigia mtu magoti?kwa lipi ? yaani wagombane wengine afu nyumba ya jirani mpasuke ? akili za wapi hizi ?
Ila ni mabingwa wa kulishana sumuWana CCM ni watu makini,magomvi yao huwa wanayamaliza na yanaisha
muungwana ni vitendo
majuzi Mchungaji Msigwa kamuomba radhi Kinana tena hadharani. Naye Kinana Leo hii anamuomba radhi Magu
goes around comes around.
Bado jiwe kwa tundu tu
Weka ushahidi hapa vinginevyo koma kabisa kupost ujingaMkuu si ni ninyi bavicha mlikuwa mnashangilia hapa mkisema Kinana ni mwana misimamo hawezi kumpigia mtu magoti?
Mi sina chama mzee na tuheshimiane sana. Mi ni mtu independent na vyama vyenu hivyo.Mkuu si ni ninyi bavicha mlikuwa mnashangilia hapa mkisema Kinana ni mwana misimamo hawezi kumpigia mtu magoti?