Msamaha: Mzee Kinana amuangukia Rais Magufuli kufuatia mazungumzo yake na makada wenzake wa CCM yaliyovuja

Baada kinana na makamba kutikiswa,nimeona kuwa mjeda ni uboya tu kama maboya wengine.
 
@tindo Acha kuwa unabwabwaja chochote kitakachokuja kichwani kwako.
 
Who is a dictator? A dictatorship is a form of government characterized by a single leader or group of leaders and little or no toleration for political pluralism or independent programs or media
Hakuna kabisa
 
Naona amebaki Mh Benard Membe, Mzee Kinana ameamua kuchutama, kafanya jambo la kiungwana sana.
Chanzo Azam.
 
Swala la kange lipo kwenye uchunguzi.
Acha kuwa unaandika hovyo bila mpango, wewe ni mkorofi sana
 
Hii nayo ni habari ingawa Kinana sio wa hivyo kwa wanaomfahamu, kijani kibichi mnachelewa jengeni mahekalu muwe mnamuabudu jiwe Humo.
 
Na midege ya Air Tanzania inayopishana angani imenunuliwa kwa fedha zipi ?
Imenunuliwa kwa kodi za watanzania, lakini katika kodi za watanzania kulikuwa na 1.5T ambazo C.A.G kwenye report yake alidai kuna wajanja wamefanya yao. Sasa hao wajanja kuna siku watazitapika
 
Imenunuliwa kwa kodi za watanzania,lakini katika kodi za watanzania kulikuwa na 1.5T ambazo C.A.G kwenye report yake alidai kuna wajanja wamefanya yao..sasa hao wajanja kuna siku watazitapika
Kodi za watanzania zilizonunua ndege ndio hizo trilion 1.5. Usiwe king'ang'anizi bwashee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…