Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kinana anaajaribu kuokoa biashara na mali zake kabla hazijateketezwaa na dikteta uchwara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umejibu tofauti na quote yenyewe? Au ukiwa CCM ndiyo excuse ya kunifanya Bia yetuYapo mengi ila wewe ndo unayaona kwa kuwa umepofuka, pia ni mawazo ya moyo wako tu kwa kuwa uliishi kwa mazoea.
Mambo yanabadilika bwashee.
Vp yale mambo ya kweli aliyoyasema itakuwaje? Jiwe ana characteristics zote za u dictatorNaona amebaki Mh Benard Membe, Mzee Kinana ameamua kuchutama, kafanya jambo la kiungwana sana.
Chanzo Azam.View attachment 1468675
Mkuu unahangaika na matanga??kodi za watanzania matumizi yake huwa yanakaguliwa na kutolewa report na C.A.G na ni C.A.G huyohuyo ambae amepewa dhamana ya kukagua kodi zetu alisema hizo 1.5 hazijulikani zilipo kuna wajanja washafanya yao...sasa wewe ni nani tukuamini mkuu,wewe ndo mkaguzi mkuu wa mapato na matumizi ya serikali? Mimi na wewe ili tujue mapato na matumizi ya serikali inatakiwa tusome report ya c.a.g ndo ina hayo majibu...sasa niwekee hapa huo ukurasa wa report ya c.a.g inayosema iyo 1.5 ilitumika kununua ndege??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu Lissu naye anefikia kiwango cha kufanyiwa reference katika nchi hii kweli, Lissu ni mlopokaji tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Takukuru walisema wamekamilisha upelelezi kwa 99%, sasa hapo shida bado ni nini?Acha dhana mbaya kwa kila jambo la serikali.Embu wakati mwingine jaribu kuwa na mawazo positive
Nakumbuka we jamaa niliwahi kukuletea clip juu ya kufufua reli ya Moshi toka Dar mwaka 2017 nadhani ukanambia hzo ndoto tu huyo Rais wenu hana uo ubavu! Nikakuambia muda utaongea ila nimeona mwaka jana December wachaga wakila nyama choma kwa mabehewa!Sina dhana mbaya kwa kila jambo la serikali acha kunichafua, bali ninakataa kwa nguvu zangu zote uovu wowote. Ni wapi umeona napinga serikali kujenga barabara? Ni wapi umeona napinga ujenzi wa hospitali? Je hayo sio mambo ya serikali? Acha kuchanganya mambo ya serikali na matumizi mabaya ya madaraka tafadhali.
Hakuna nini?Hakuna kabisa
Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Abdulrahman Kinana amejitokeza na kumuomba radhi Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Dkt. John Magufuli kufuatia matukio yaliyojitokeza siku za nyuma ikiwemo mazungumzo ya simu baina yake na baadhi ya viongozi wakongwe wa CCM yakimlenga moja kwa moja Rais Magufuli.
Kauli hiyo ya Kinana ameitoa akiwa jijini Arusha, ambapo pia alipata nafasi ya kukutana na viongozi wa CCM mkoa wa Arusha akiwemo Mwenyekiti wa chama Mhe. Zelote Steven na Katibu wake Mussa Matoroka ambao wamemshukuru kwa hatua hiyo.
Kinana ambaye ni miongoni mwa wanasiasa wakongwe wa CCM, baada ya kustaafu alijiikuta katika malumbano na wanasiasa wenzake na pia viongozi wake ambazo hata hivyo hakuwahi kuzizungumzia.
====
My take: Waliokuwa wanadhani JPM ni moto wa mabua sasa wametambuwa kuwa walivyodhani haikua sahihi
Mkuu acha kuzalisha Yale mwomba msamaha hakuyasema,wala hayamo moyoni mwake, tofauti na hapo ni ramli tu hii ufanyayo,Umemsikiliza vizuri Kinana? Umemuelewa? Unajua ethics za uongozi wewe? Unajua umuhimu wa kipindi hiki kwa chama kuelekea uchaguzi mkuu?
Sasa elewa kuwa mzee Kinana ameombwa radhi ili kunusuru chama na kimaadili kaombwa aseme yale hadharani kurudisha imani ya wanachama.
Ndio maana hata lugha yake (tone) ilikuwa na dharau ndani yake. Mavuvuzela hamuwezi kuelewa hapo hata mpigwe nyundo kichwani
Kwa maana imeandikwa usilitaje bure jina la bwana mungu wako.Tanzania hii mtu anayeabudiwa kama Mungu ni Mbowe tu, yeye ni Alfa na Omega huko chadema
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewahi kusema hii kitu humu, mfumo ndio kila kitu na wote hao wanajua ndio maana hawawezi kuleta fyoko fyoko wakafanikiwaSource wapi mkuu ila hii habari kama ni kweli kuna watu watanuna na kupasuka, Maana tayari walishaanza kusema twende na Kinana 2020 haha, Mimi nilisha sema hakuna kitu mtu ataweza kufanya akiwa nje ya mfumo.
Yaani nchi hii hakuna mtu aliepo nje ya mfumo anaweza kutingisha mfumo never ever hao kina Kinana kwa sasa ni kama mtu uwaoondoe meno afu uwape nyama ambayo haija iva fresh. Hata mkwere anajua ukishakuwa nje ya system huna impact tena.
Ukizingatia hao wastaafu wana makandokando kibao
Due force of gravity, sometimes even rivers can start flowing upwards a mountain.Nimeusikiliza msamaha huu na jana nimeona kwenye TV news Kinana akiomba msamaha, hivyo sasa nakiri kwenye bandiko hili
Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity
I was wrong kumhusu Kinana, sasa kwenye list ya kuomba msamaha bado Makamba na Membe.
P
Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Abdulrahman Kinana amejitokeza na kumuomba radhi Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Dkt. John Magufuli kufuatia matukio yaliyojitokeza siku za nyuma ikiwemo mazungumzo ya simu baina yake na baadhi ya viongozi wakongwe wa CCM yakimlenga moja kwa moja Rais Magufuli.
Kauli hiyo ya Kinana ameitoa akiwa jijini Arusha, ambapo pia alipata nafasi ya kukutana na viongozi wa CCM mkoa wa Arusha akiwemo Mwenyekiti wa chama Mhe. Zelote Steven na Katibu wake Mussa Matoroka ambao wamemshukuru kwa hatua hiyo.
Kinana ambaye ni miongoni mwa wanasiasa wakongwe wa CCM, baada ya kustaafu alijiikuta katika malumbano na wanasiasa wenzake na pia viongozi wake ambazo hata hivyo hakuwahi kuzizungumzia.
====
My take: Waliokuwa wanadhani JPM ni moto wa mabua sasa wametambuwa kuwa walivyodhani haikua sahihi
Mkuu kama ulikua wrong, una haki pia ya kutuomba msamaha, kwani huwa tunaziamini sana porojo zako.Nimeusikiliza msamaha huu na jana nimeona kwenye TV news Kinana akiomba msamaha, hivyo sasa nakiri kwenye bandiko hili