Msamaha wa Spika Ndugai kwa Rais Samia ni kifo cha mende kwa lile kundi

Msamaha wa Spika Ndugai kwa Rais Samia ni kifo cha mende kwa lile kundi

Walidhani wanaweza kutumia wingi wao kila idara na bungeni kutingisha gogo. Lkn wamekumbana na kisiki cha Zanzibar kikiwa kinalindwa na katiba ya nchi na chama. Wanaanzia wapi kuukata mpingo?

Aliyepewa jukumu la kukitikisa kisiki kapima kina cha maji halafu mwenyewe kaona isiwe taabu. Kwani kuomba msamaha shiling ngapi bwana??! Kajitokeza mwenyewe kuomba poo!

Huu wala siyo uchochezi. Lilikuwa battle la kweli kweli. Si mlimsikia yule mtendaji mkuu wa shughuli zote za serikali akiliongelea? Ilikuwa siyo mchezo.

Sasa mipango, ndoto na matumaini ya lile kundi kuirudia neema na kutamba kama mwanzo ndiyo yamekufa kabisa. Hakuna tena pa kuanzia.

Poleni sana wazee wa legacy.

Nyanengh'we!!
Jamaa mburula hii unalazimisha ugonvi ambao haupo!!?
 
Mna mihemko ya kitoto hata hamjui mnachoshangilia, hao wote bado ni CCM na siku zote wataendelea kulinda maslahi yao.

Wewe usije kurupuka kuikosoa serikali ukadhani ndio utasikilizwa, nawe utaonekana mpiga kelele tu, akili ndogo hata hujui madhara ya unachoshangilia.
Halafu 2025 CCM inarudi madarakani ikiwa na Mama Rais, Ndugai Spika na Majaliwa PM wanaanza kulalamika eti wameibiwa kura, wakati muda wote wamo JF wanapiga umbea wa CCM huku vyama vyao vikifa vikiwa vimelala yoyo!
 
Back
Top Bottom