- Thread starter
- #61
We jamaa una akili Sana. Wajinga wanasema eti ndani ya ccm kuna nidhamu..nidhamu ya ccm inatokana mwenyekiti kuwa amiri jeshi mkuu, na kuweza kutumia mamlaka yake kuwadhibiti wanaotofautiana Nate.
..kwa hiyo nidhamu ndani ya chama inapanda au kushuka kulingana na kiwango cha utayari wa mwenyekiti kutumia dola kudhibiti wanachama.